Search results

  1. edu88

    Wapi nitapata Deodorant za Old Spice Dar es Salaam

    Wadau, habari zenu. Msaada wenu tafadhali. Samahani, wapi nitapata deodorant za old spice? Nilikuwa nazipata kiurahisi sana kwenye supermarket ya TSN mikocheni ila walizitoa. Nilienda supermarket nyingine za Posta na Bamaga bila mafanikio. Nimeweka na mfano wa hizo deodorant kwenye picha.
  2. edu88

    Wimbo wa Msaga Sumu - Naipenda Simba Mshabiki wa Damu

    Mwenye huu wimbo naomba anitumie au atume link ya jinsi ya kuupata.
  3. edu88

    Hoteli ya Mt. Meru yawekwa Sokoni

    Wawekezaji wanakaribishwa kuchangamkia nafasi ya kununua hoteli ya Mt. Meru iliyoko mkoani Arusha.
  4. edu88

    NSSF yaburuzwa Kortini kwa kujenga nyumba zilizo chini ya Kiwango

    Shirika la Hifadhi ya Jamii yaburuzwa kortini kwa kujenga nyumba zilizochini ya kiwango. Vilevile, bei ya nyumba hizo ni kubwa kuliko thamani halisi. Nyumba ziliuzwa kwa Milioni 103 hadi 130 lakini thamani halisi ni Milioni 52. Hili ni somo kwa wale wote wanaofikiria kununua nyumba za shirika...
  5. edu88

    Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

    Nyumba Dar es Salaam inauzwa kwa thamani sawa na Beverly Hills, nchini Marekani. Wapigaji, wakwepa kodi na mafisadi ndipo walipotufikisha hapa.
Back
Top Bottom