Search results

  1. Jonatus

    HR and Accounts Officer

    City College of Health and Allied Science Arusha Campus is hiring HR and Accounts Officer. Deadline for the application is 6th July 2022 but applications will be reviewed on an ongoing basis. Applicants are recommended to apply as soon as possible For more information about the job read on the...
  2. Jonatus

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Kabisa umesema ya ukweli uki tumia teknolojia utapata taarifa za kutosha bila hata hao madalali
  3. Jonatus

    Nafasi za kazi, kujitolea au mafunzo kazini (internship)

    Nenda ofisi za TAESA kwa ajili ya nafasi ya internship
  4. Jonatus

    Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Mshahara ni milioni 11 according to Heche Halafu huo udogo wa wapi kuna watu wanapiga kazi ni professional na hawalipwi hata 2.5M mfano ma Daktari
  5. Jonatus

    Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Za hapa na pale zinasema ni Salvatory Machemli
  6. Jonatus

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Hizi kazi zipo sawa ila shida yake wanataka mtu ambaye yuko tayari nchini kwao. Wewe ukiwa Bongo uki apply kupitia hizo apps utaishia tu kuitwa interview au unaambiwa location not suitable for the Position.
  7. Jonatus

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Ahaa kama Bongo tu, mwajiri ndo mdhamini wako kwenye maombi ya kibali cha kazi. Asante
  8. Jonatus

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Hivi work permit ya Dubai au Qatar ina cost kiasi gani?
  9. Jonatus

    UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Hili jukwaa limenisaidia wamenitunia email yao Africovid International nikasema ni Google jina la huyo HR nikalikuta hii forum. Washenzi hao
  10. Jonatus

    Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

    Baada ya mda gani should i consider myself unsuccessful baada ya kutuma cv.
  11. Jonatus

    15 Temporary Jobs At Dar Rapid Transport (DART), June 2021

    Hio 310000 nzuri kabisa kuliko kutegemea ugali wa shikamoo.
  12. Jonatus

    Changamoto Ulizopitia Kwenye Kusaka Ajira

    Kabisa private companies kuitwa kwenye interview ni ngumu mno.
  13. Jonatus

    15 Temporary Jobs At Dar Rapid Transport (DART), June 2021

    Mambo ya TAESA haya. Acha tu
  14. Jonatus

    Kuitwa Training TAESA

    Ukifika pale unasalamia then unasema kuwa nimekuja kujiandikisha kwa ajili ya internship watakuuliza vyeti original wakiona watakupa fomu ujaze
  15. Jonatus

    Kuitwa Training TAESA

    Ndio level yoyote kati ya hizo ulizotaja wanapata huduma za TAESA
  16. Jonatus

    Nafasi za kazi, Secretary & Receptionist, ubalozi wa Malawi

    Nimeangalia kwenye website ya ubalozi wao ni email ambayo hata kwenye website ipo
Back
Top Bottom