Search results

  1. vyuku

    Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

    Mnakuwa wapumbavu Sana,angelikuwepo mbona zamani tu angelishakubali maana nae anataka maendeleo na huu mkataba tangu yupo alikuwa akifuatilia na kuutaka lakini bado muda ulikuwa haujafika
  2. vyuku

    Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

    Wanaoeneza habari hizo ni wapumbavu ukiangalia zaidi ni wale sukuma genge
  3. vyuku

    Sikukuu ya wajinga imewadia ni tarehe 1-april

    Ni upumbavu hata hicho mnachokiandika mnajidhihirishia wazi kuwa ujinga mnaanza kuwa nyinyi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. vyuku

    Hakuna pepo wala moto, maisha ya binadamu yakiisha yameisha

    Dah subhanallah Sent using Jamii Forums mobile app
  5. vyuku

    Kuna ulazima gani upikiwe na ule kwa mfiwa...?

    Hakuna ulazima ni kuwazifishia mizigo tu
  6. vyuku

    Catherine Magige aendelea kuchanja mbuga

    Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli pamoja na wataalam(wakuu wa idara). Mh mbunge alifuatana na katibu wa UWT mkoa wa Arusha Irimina...
  7. vyuku

    Shamimu na Mumewe bado waendelea kusota rumande, Mahakama bado inasubiri kielelezo kutoka kwa Mkemia Mkuu

    Hawa jamaa ni wakuwanyonga kabisa,mume alitaka kuwahonga askari milioni mia tatu lakini kwa uaminifu na utendaji mzuri wa maaskari wetu walikataa kupokea hizo fedha,lengo ni kutaka mkewe aachiwe huru ili akamatwe peke yake. Wamewaumiza sana wadogo zetu
  8. vyuku

    Tusimdanganye Rais kwa uzembe wa aina hii.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. vyuku

    TANESCO mnakera: Yaani kuomba kuunganishiwa umeme barua na ukikosea kununua umeme nako tuandike barua?

    Mkuu ingelikuwa Tanesco ya Tabata ungelishatatuliwa matatizo yako haraka sana,lakini hao wengine wanakujibu hivyo kwa sababu tu hawataku kushuhulishwa kwa kazi zao wenyewe walizoajiriwa nazo.
  10. vyuku

    Mengi: Bila K-lyn huenda ningeshakuwa nimekufa

    Alimzaa alizaliwa ma mtoto wake hata useme mjukuu wake?
  11. vyuku

    Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Hata kama kwenu lakini huna unachokijua kuhusiana na maendeleo,kwani kupajua kwenu ndio kusema utajua kila kinachoendelea?maana hata hujui kuwa pesa zilizojenga hospitali ya nduruma ziliombwa na Mh Amina Mollel na akapewa milioni mia tano,hujui hata kinachoendelea hata arumeru yenyewe huijui ya...
  12. vyuku

    Kama Katiba ya CCM hairuhusu Rais kupingwa muhula wa pili kwanini wanahangaika na Membe?

    Yaani watu wa ajabu sana,wana ccm wanajuwa kuwa kuna kanuni za kuanza kampeni na adhabu zake,ni makosa makubwa kuanzisha makundi ya kukusapoti urais wakati muda haujafika. Pia hakuna Rais kwa taratibu za ccm kukaa muhula mmoja. Wanachonishangaza chadema kumpigia debe Membe kuwa Rais 2020 ni...
  13. vyuku

    Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Hoja yako nyepesi sana dogo,kilichoandikwa na unachokisema unajionesha wewe ni mpuuzi mara sita ya unaemsema
  14. vyuku

    Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Kumbe nawe umejikubalisha kuwa mkuda?ulitumwa usome si ungelipita tu kama wenzako? Wehu huo
  15. vyuku

    Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Kabla kukoment tafuta kwanza sehemu inayoitwa arumeru Magharibi,mashariki yupo Nassari tafuta magharibi ndio uje useme habari ya fund za kujitolea,hujui arumeru magharibi utajua habari ya miradi dogo? Msidandie kabla kujua hata sehemu
  16. vyuku

    Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Kwa kipindi kirefu sana wananchi wa jimbo la Arumeru Magharibi hawakuwahi kupata mtu wa kuwasemea bungeni kwa matatizo mengi sana waliyonayo licha ya kuwa wana mbunge(chadema) ambae hajawahi hata mara moja kujitokeza jimboni kwake na hivyo kuwafanya wananchi wa Arumeru Magharibi kutomjua mbunge...
Back
Top Bottom