Search results

  1. Foxhound

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa. 1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa...
  2. Foxhound

    Picha za watu wanaofanana zaidi ya 30 ambao hawana undugu

    Kama nawewe unazo za watu wanaofanana ambao hawana undungu, unaweza kuongezea!
  3. Foxhound

    MIKASA YA MAISHA (TRUE STORY)

    Habari waungwana, leo nimeamua kushare nanyi mikasa ya kimaisha ambayo ilinikuta kipindi nipo nyumba ya kupanga. Ilikuwa hivi: Mwaka 2006 nilifanya vizuri katika masomo yangu ya Electronics nikawa nafanya kazi kitaa hadi kufikia mwaka 2013 nikataka kujiendeleza (Chuo) ili nifike mbali zaidi...
  4. Foxhound

    TRUE LOVE

    Kama una picha za wenye mapenzi ya kweli tupia hapa. Miongoni mwa picha nilizotuma kuna wazee ambao wamefikisha zaidi ya miaka 60 ya ndoa zao. Naomba ziwe za wazee ambao wamekaa muda mrefu sana kwenye mahusiano yao. NB Tafadhali naomba isiwe za vijana ambao hawana true love kama wazee.
  5. Foxhound

    Stori isiyosemwa: Mwalimu Nyerere alimzuia Balozi Joseph Rwegasira kuwaondoa makahaba Jijini Dar

    MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto...
  6. Foxhound

    Lugha ya Kiswahili

    Salaam wana jukwaa. Ama baada ya salaam leo katika jukwaa hili la lugha tutaongelea kuhusu lugha yetu adhimu ya Kiswahili ambayo inaendelea kukua siku baada ya siku. Katika lugha yetu hii ya Kiswahili kuna baadhi ya maneno ambayo ni ya kimapokeo na sio wengi wetu tuliozaliwa katika kizazi hiki...
  7. Foxhound

    Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

    Kuna member mmoja kwenye twitter anajiita Kidukulilo leo nimeshuhudia kwa macho yangu amecopy na kupaste style yangu, najua sisi kama member wa hapa JF pia tuna account katika mitandao mbali mbali lakini kwanini? 1. Uchukue mambo ya JF uyapeleke Twitter? 2. Kwanini ucopy na kupaste hadi style...
  8. Foxhound

    TEAM BMX

    Hebu leo tujikumbushe team za kipindi hicho watu wanapenda bike achana na hizi team za kijinga zilizopo sahv eti team ujinga ujinga. Hii ndio team niliyowahi kuipenda, wewe je? ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
  9. Foxhound

    HAPPY WOMENS DAY

    Habari wanajukwaa! Ama baada ya salamu kwa kawaida siku kama ya leo 8 March huwa nimezoea kuona watu wakianziasha mada mbali zinazowahusu akina mama na akina dada pamoja na wasichana kwa minajili ya kusherehekea siku ya wanawake duniani, ila katika mwaka huu 2020 naona hali ni tofauti na...
  10. Foxhound

    Dully Sykes most featured artist in Bongo Flavour

    Salaam wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kuwa Dully Sykes ndie msanii anaeongoza kwa kushirikishwa sana kwenye nyimbo za Bongo flavour. Music gallery ya kwenye simu yangu ina nyimbo zaidi ya 900 mchanganyiko Dully Sykes ameshikirishwa...
  11. Foxhound

    Vifaa hivi vinapatikana wapi ndani ya Tanzania

    Kwa wale wataalam, mafundi, wapenda electronics, hivi ni miongoni mwa vifaa vinavyotumika katika kutengeneza circuit board, kwa mwenye kuelewa vinakopatikana itapendeza kama tutafahamishana pamoja na bei zake. Neje dk-8-kz engraver au nyingine yoyote ya bei rahisi Mini bench drill with bits...
  12. Foxhound

    Mahakama yaruhusu wananchi kuhudhuria na vyombo vya habari kuripoti kesi ya UAMSHO

    HATIMAE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, imemtaka Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi ya ugaidi inayomkabili Sheikh Msellem Ali Msellem na wenzake 21. Mahakama hiyo pia imeondoa zuio kwa Waandishi wa habari juu ya kuripoti kesi hiyo sambamba na kuruhusu tena, ndugu...
  13. Foxhound

    Tigo pesa kuna tatizo gani

    Habari waungwana, Ama baada ya salaam kuna kitu nimeona nisijadili peke yangu, niwashirikishe nanyi ili afadhali michango yenu itasaidia kwenye hili niweze kujua ni wapi pa kuanzia. Ni hivi, asubuhi saa 12:45 nilipokea msg kutoka tigo pesa wakati sijafanya muamala wowote ikinielezea kuwa...
  14. Foxhound

    Nashuruku nimerejea toka kifungoni nilipokuwa natumikia adhabu ndogo

    Habari zenu wapendwa! Nashuruku nimerejea toka kifungoni nilipokuwa natumikia adhabu ndogo, kwa kosa la utovu wa nidhamu, ila hali yangu kiukweli sio nzuri, maana siku ya kwanza kuwa kifungoni nilibadilika na kudhoofu kiasi kwamba nilianza kuhangaika kwenye vituo vya afya niweze kujua...
  15. Foxhound

    Wadada mtuelewe

    Salaam wapendwa. Moja kwa moja kwenye mada. Wadada mtuelewe wanaume, sio kama tunapenda kuchepuka au kuwa na wanawake wengi bali wengi wenu siku hizi mnatufanya tuchepuke au kuwa na wanawake wengi kwa sababu zifuatazo:- 1. Mahaba (Romance) Hamjui kumpeti peti mwanaume kama iliyokuwa kwa mabibi...
  16. Foxhound

    Hivi huu utapeli utakwisha lini

    Salaam, wapendwa sina haja ya kuandika maneno mengi namba zao ni hizi hapa 0784 710 391 HERMAN BICHAKILA 0784 713 769 HILARY CHUWA 0762 389 794 HILARY CHUWA 0676 613 426 HILARY CHUWA Napenda kuwajulisha ndugu zangu ukipoteza au kuibiwa simu wafahamishe ndugu zako haraka sana la sivyo madhara...
  17. Foxhound

    Niulize swali lolote kunihusu leo

    Kwa furaha ya kipekee niliyonayo siku ya leo waweza kuniuliza swalo lolote kunihusu na nitajibu kwa usahihi sana. Angalizo: Maswali yahusiane na hapa kwenye jamii forums, na yasiwe sensitive na yasiwe kwa ajili ya kuweka wazi utambulisho wangu. Ahsanteni.
  18. Foxhound

    Furaha ya siku ya kuzaliwa

    Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu. Wengi walitamani nao waongeze umri walioishi hapa duniani ila Muumba hakujaalia hivyo. Shukrani za...
  19. Foxhound

    Ustaarabu wa kukusanya nauli kwenye daladala Afrika Kusini

    Salaam! Ama kwa hakika kuna baadhi ya mambo huwa yanashangaza sana duniani hasa pale mgeni unaposhuhudia jambo ambalo sio kawaida au ambalo hujabahatika kuliona nchini kwako, mara nyingi imekuwa ni kinyume na vile unavyosikia kuhusu watu wa South Afrika, maana baada ya kipindi cha kati hapo...
  20. Foxhound

    MREMBO MI BADO NAKUTAFUTA

    Jamani ni huyu mrembo alikuwa anaitwa Carrythas alitokea kuuteka sana moyo wangu, sijui labda ni ushamba wangu au ni kitu gani kilinifanya nikajisahau. Ila kiukweli uliuteka moyo wangu. Nimekaa sana na maumivu ya moyo ila kwa kweli nimeshindwa. Inawezekana pia huenda unatumia Id hii bado au...
Back
Top Bottom