Search results

  1. davidngonde

    House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    1.6m×12 miezi =19.2 M huku kwetu simiyu unajenga nyumba ya kifahari
  2. davidngonde

    Swali? Ukianza upya elimu ya msingi ile ya juu inafutika?

    Na Mimi naomba niongeze swali katika hilo..... Kuna mshikaji alimaliza kidato cha sita enzi hizo na kupata div 3 ya points 14 kwa maana ya D E E na kwa vigezo vya wakati alifanikiwa kijiunga na chuo kikuu kuchukua shahada yake, sasa kahitimu bahat mbaya iyo shahada haina ajira anafikilia kurudi...
  3. davidngonde

    Mchezo wa draft

    Ha ha ha ha Mkuu iyo Ebola ndiyo ikoje?? Kuna jamaa hapa mtaani ananifunga sana Nipe formula na Mimi nisumbue watu hapa
  4. davidngonde

    Migogoro wa wakulima na wafugaji haijapata ufumbuzi

    Mama kawatetea wafugaji labda kwa vile na yeye ni wa huko Ukweli ni kuwa wafugaji ni tatizo Ugali ni muhimu kuliko nyama Anasema tatizo lilianzia kwenye hizo hekta 70k......... Ina maana wafugaji wote tunao waona maeneo mbalimbali wakisababisha migogoro ni hao wa manyara peke yao?
  5. davidngonde

    JamiiForums' Person of the Year 2016

    Melo sidhani kama anatakiwa kuwa sehemu ya hili shindano Ila angepewa tuzo ya heshima(Hall of fame) Then members wengine wachuane, Ni uzi mzuri
  6. davidngonde

    Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

    Baba yake wakazi underscore music
  7. davidngonde

    Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

    Baba yake wakazi underscore music
  8. davidngonde

    Msaada wa cv

    Ya kazi Takazi Unasema upo makini Ova
  9. davidngonde

    Solo Thang: Tuzidi kumuombea Chid Benz

    Kosa linalo rudiwa zaidi ya Mara moja huwa ni maamuzi
  10. davidngonde

    Mtaji kidogo kwa aliekosa kazi unapatikana

    Mkuu ulifanikiwa? Upo bariadi sehemu gani?
  11. davidngonde

    Mama zetu humu JF je haya Wanayotufanyia Mabinti zenu nanyi mliyafanya?

    Makusudi mkuu narudia tena makusudi Najua kwanini nasema hivyo
  12. davidngonde

    Najutia kila naefanya nae tendo anabeba ujauzito..

    Una tatizo kama langu..........
  13. davidngonde

    Mawaziri 5 walioboronga zaidi mwaka 2016

    Nachojua magembe hawezi kukosa
  14. davidngonde

    Huku kwetu kuna mtu amejilipua leo!!

    Kweli usiseme mwaka huu tunakufa njaa sema mwaka huu NINA KUFA NJAA
  15. davidngonde

    Moshi kumefurika balaa!

    Tupicha tafadhari
Back
Top Bottom