Search results

  1. 2 pacha

    Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Mpaka hapo kashaonesha kuwa hamjui mungu......!
  2. 2 pacha

    Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    sijawahi kuonewa.... ila nikionewa... mamaaake nakuwa zaid ya hamza....!"(nawaza tu kwa sauti")
  3. 2 pacha

    Mzee wa upako. Amesema anayekataa kuchanjwa ni zombi''

    Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa kuwazuia kwenda kuchanjwa kwahyo nayeye ni zombi.
  4. 2 pacha

    Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Peleka wazo serekalin alafu uone watakufanya nin... Kama hujaambiwa ww ni gaidi
  5. 2 pacha

    Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

    Duuh! Jamaa wataalamu sana wakuunganisha dots. Yangu macho ngoja nisubir nione nini kitatokea
  6. 2 pacha

    Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

    Dah kweli nimeamini... Mama wa kambo c mama......! Mmmmh kumbe nawaza kwa sauti!!!
  7. 2 pacha

    Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Mama wa kambo siyo... Mama nishawaambiaga nyie tusubilini tu mengne yanakuja.
  8. 2 pacha

    Nguvu kubwa inayotumika kupambana na CHADEMA haiwanyong'onyezi bali inawaimarisha

    Kwa sasa nyumba inaongozwa na mama wa kambo'
  9. 2 pacha

    Dr Mwigullu: Bajeti ikishapitishwa na bunge ni Sheria, sitaweza kubadili chochote kwenye Tozo!

    Bajeti haijapitiswa na bunge bali imepitiswa na ccm
  10. 2 pacha

    Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Kodi balaa... yaan hata nguruka nao wamepanda bei duuuh
  11. 2 pacha

    Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Aisee wewe jamaa umenipa hasira... Kwel yaan... Ungekuwa kalbu yangu ningekuzaba hata kofi la baba wa kambo. Yaan kodi zote hzi zilizoongezwa na bdo ww unatetea.
  12. 2 pacha

    Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

    wote tuachane na siasa..! hyo mbinu nazan itafaa
  13. 2 pacha

    Mbowe na hadithi ya Chura!

    ivi tanzania chama pinzani kipo kimoja tu 'cdm'? maana hawa chukua chako mapema" wanavyopata shda na mbowe yaan mpaka aibu!! dingi mbowe walaah wewe ni jembe kama ni tuzo ya upinzani bora ingekuwa inatolewa ingekuhusu.
  14. 2 pacha

    Baada ya neno "kuunga mkono juhudiI" kukosa uhalisia, sasa wamekuja kivingine

    bila upinzani hakuna maendeleo thabiti!
  15. 2 pacha

    Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

    yaan raia wa nchii hii me nawashangaa sana. wanashilikiana na chama tawala kuukandamiza upinzani. nawasikitikia sana, hawajui maovu mengi yanchi hii wapinzani ndyo wameyaibua!!! sasa ngoja wakiue chama pinzani(cdm) alafu waone watakavyoishi kama vichaa'' mm haka nahama zangu nchi kabla cjawa kichaa
  16. 2 pacha

    Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Tuliomshabikia na kumtetea sasa tunaweza kumkosoa, kuna mahali anatuangusha

    me mwenyewe nakuunga mkono kabisa mtoa mada na natamani uzi huu uwafikie tena uwafikie wale wanaojiita vichaa
  17. 2 pacha

    Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    mke wangu akichepuka nikagundua nisipomuacha nafyeeekeelea mbali......
Back
Top Bottom