Search results

  1. Daudi1

    Ishi na mwanamke kwa akili

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wakijiji, Mungu ni mwema ametupa neema ya mwaka 2023 ni mwaka mwingine ya zamani yamepita acha kutembea na fikra za 2022. Nirudi kwenye mada husika...... Maandiko yametuasa wanaume tuishi na wanawake kwa akili, ndoa na mahusiano ya sasa yamekuwa na changamoto sana...
  2. Daudi1

    Sikujua vikundi vya 'jogging' watu wanatumia kutongozea wanawake!

    Kumbe Jogging club zinazoanzishwa wa wingi hasa maeneo ya mjini zimekuwa platform ya kutongoza wanawakeee aiseee!!!. Nimepita mahali nikakuta Kuna vijana wanamshawishi kijana mwenzao ajiunge Kwenye jogging club yao waliyoianzisha, Sasa Huyo mwenzao akauliza "wanawake wapo???" Wakamjibu Wewe...
  3. Daudi1

    Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

    Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
  4. Daudi1

    Mada: Kwanini tumefika hapa?

    Umofia kwenu!!!!!1 Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu. Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya mahusiano na ndoa ndio taasisi mama katika kuishape jamii, kumbuka taasisi hii ndiyo inayozalisha...
  5. Daudi1

    Tatizo ni Upendo kupungua

    Habari ndugu zanguni, nawasalimuni wote kila mmoja kwa imani yake Niende moja kwa moja kwwnye hoja ya leo, kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mahusiano mpaka inafikia mahali inaonekana mahusiano hayana maana tena, wengine wamefanya mahusiano kuwa biashara, wengine imekuwa uwanja wa vita...
  6. Daudi1

    Ndoa ni tamu sana

    Habari wanakijiji wenzangu, matumaini mko salama kabisa, bila kupoteza muda nielekee kwenye mada Kumekuwa na wimbi la watu wengi hasa wanandoa kueleza negatives za ndoa kiasi kupelekea wengine kukata tamaa ama kuogopa lakini ngoja niwaelezeni kitu Ndoa ni tamu sana hasa kama umepata mtu...
  7. Daudi1

    Kwanini vijana wengi wamekosa kujiamini?

    Habari ya weekend wana kijiji wenzangu wa humu ndani, ni muda mrefu sijazungumza chochote Leo naomba tushirikiane hili hasa kwa wanaume, Wanaume wengi sasa Wamekosa kujiamini mbele ya mwanamke, sijajua kwanini hii imepelekea imepelekea mwanaume kuwa mlalamikaji zaidi, miaka ya nyuma mwanamke...
  8. Daudi1

    Kwanini wengi wanaonyesha wamekata tamaa na mahusiano?

    Habari za weekend wanakijiji, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejiuliza nimekosa majibu kadili siku zinavyozidi kwenda watu wengi wanakata tamaa kwenye mahusiano mwisho wa siku wanaona bora kukaa wenyewe tatizo ni nini? Kwanini watu wanashindwa kudumu kwenye mahusiano? Siku hizi imekuwa...
  9. Daudi1

    Kasi ya ongezeko la wanawake kujifungua kwa upasuaji, tatizo ni nini?

    Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inasemekana kazi ya wanawake wanaozaa kwa upasuaji yazidi kuongezeka huku ikidaiwa kuwa wapo wanaofanya upasuaji huo bila sababu za msingi tofauti na wale wenye matatizo ambao inapelekea kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua. Jamani sasa kwanini wanawake...
  10. Daudi1

    Kumbe wanawake wanahitaj assurance!!

    Habari ya mchana wapendwa, nimeikuta sehemu hiii ...................................... By nature nadhani mwanamke ameumbiwa kujua "assurance" hata kama hatakuwa na matumizi nayo lakini kuwa assured a.k.a kuhakikishiwa kwao huwa inahusu sana. Suala la usalama wao wa nafsi na akili na mwili ni...
  11. Daudi1

    Chombezo: Chanduka

    CHANDUKA (1) Age 18 by hafidhi j ikram Cm 0765672880 ---------------- TUPATE KIDOKEZO KWANZA CHANDUKA ni kijana mmoja aliye kulia katika maisha ya kimasikini sana yani hata elimu ya darasa la saba hakuweza kuimaliza kutokana na sababu nyingi tu kikubwa zaidi ukosefu wa uniform madaftali na...
  12. Daudi1

    Simulizi fupi Jumba La laana

    SEHEMU YA KWANZA Simulizi: JUMBA LA LAANA (01) Mtunzi: Kalmas Konzo Simu: 0744 970447 “Hodi hodi wenyewe!”. Nilizidi kuligonga geti la jumba hili huku nikiipaza sauti yangu pasi kupata majibu. “Jamani wenye nyumba hodiiiiiii!”. Niliendelea kubisha hodi pasipo kukata tamaa. Sikutaka kukata...
  13. Daudi1

    Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

    Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na msimamo ambao sio wote ni baadhi lakin wengi wao.... Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake na Mimi...
  14. Daudi1

    Simulizi fupi ya kusisimua ya Jestina

    JESTINA-1 "Jestina....Jestina....Jestina...tafadhali usifunge macho eeeh mungu usimchukue Jestina wangu nitabaki na nani hapa duniani" hiyo ilikuwa ni sauti ya kijana Alwin akiwa amempakata katika mapaja yake mschana aliekuwa akimpenda zaidi kuliko kitu kingine chochote duniani. Wakati huo...
  15. Daudi1

    Simulizi fupi yenye mafunzo: Kahaba

    Simulizi: KAHABA (01) Mtunzi: Kalmas Konzo Simu: 0744 970447 “Hivi baba Careen, unajua mimi sikuelewi kabisa siku hizi?”. “Kwa nini hunielewi?”. Nilimjibu mama Careen. “Eti eeeeh! Unajifanya huelewi”. Mama Careen aliongea huku sasa akiwa amekishika kiuno chake kwa mikono yote na kunitolea...
  16. Daudi1

    Joto la mapenzi

    JOTO LA MAPENZI-1 Kutokana na maji kuingia kwa kasi katika shimo alilokuwemo kijana ambe yalimzindua kutokana na kuteleza na kudondokea humo wakati wakiwakimbia askari magereza na kupoteza fahamu. Ilikuwa katika jaribio la kutoroka kwa bahati mbaya aliangukia kwenye shimo. Rafiki yake Aloys...
  17. Daudi1

    Jamani, kwani lazima?

    Mtoto utapata ila lazima ufuate masharti yangu." "Babu siamini kama kweli nitapata mtoto maana huu ni mwaka wa saba sasa niko kwenye ndoa lakini sijapata mtoto, niko tayari kwa masharti yako babu, okoa ndoa yangu, ndugu wa mume wangu wananisema sana." "Je, unaweza kumjua mwanaume atakayekupa...
  18. Daudi1

    Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha

    Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga ambayo kila mwezi wanatakiwa kulipa bili ya umeme kwa zamu, cha kushangaza Jackob anapokosa fedha hiyo hachanganyikiwi wala kuona aibu kusema sina. Kwa mujibu wa simulizi ya Agatha, hata anapomsihi mumewe ajitahidi wapate fedha hiyo...
  19. Daudi1

    Dokta mimi siumwi huko

    "Ulikwenda hospitali mke wangu?" Masofa alimuuliza mke wake Sulee. "Nilikwenda, lakini daktari kasema mimba nitapata tu ndani ya mwezi mmoja." "Ndani ya mwezi mmoja utapata mimba? Inawezekana kweli? Hujamwambia kwamba tumehangaika kutafuta mtoto kwa miaka nane, sasa ndani ya mwezi mmoja mimba...
  20. Daudi1

    Je! tatizo ni nini? Na nani chanzo cha tatizo hili?

    Habari wanajamvi, bila kupoteza muda niingie kwenye maada husika Siku za hivi karibuni vijana Baadhi ya wanawake wamejivua utu wao na kuanza kujihusisha kimapenzi na vijana wadogo wengine kwa umri walitakiwa kuwa watoto wao(Naongelea serengeti boys na sugar mumys), sababu zipo nyingi za wao...
Back
Top Bottom