Search results

  1. L

    Katiba Mpya iruhusu itamke bayana kuwepo kwa Wabunge watokanao na Mahakama,,!

    Nadhani ni muda muafaka sasa wanaharakati wote na wajumbe wa bunge la Katiba kupigania kuhusu kipengele kinachotambua au kutamka,kuwa Wabunge wa mahakama ni wanamna gani. Hakika hili la kuwa na Mbunge anaekuwa mwakilishi kwa shinikizo la mahakama linahitaji kutungiwa sheria.
  2. L

    Erick Shigongo atoa msaada wa gari la wagonjwa Sengerema!

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni kujiandaa kugombea nafasi ya kisiasa, mkurugenzi wa kampuni ya Gkobal publishers Ltd Erick Shigongo leo amekabidhi gari aina ya Ambulance maalum kwa kubebea wagonjwa kwa wananchi wa Sengerema ikiwa ni ahadi aliyowahi kuitoa. Pamoja na kukabidhi gari hilo...
  3. L

    Katibu wa UWT(CCM) Amina Makiragi amtuhumu Lembeli na Kamati yake ya Bunge!!

    Huwezi kuelewa kwa kuwa huna uwelewa na IQ yako ni ndogo mno. Ila ingekua ni habari za kuiponda Chadema au viongozi wake ungeelewa wewe SORO!!!
  4. L

    Katibu wa UWT(CCM) Amina Makiragi amtuhumu Lembeli na Kamati yake ya Bunge!!

    Ni katika kikao cha kamati ya Wabunge wa Ccm,taarifa zinamnukuu Katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake[UWT] wa chama hicho,Amina Makiragi akimtuhumu Lembeli na kamati yake kuwasilisha ripoti hiyo Bungeni badala ya kuipeleka katika kamati ya chama kwanza. ""Mheshimiwa Mwenyekiti""huyu Lembeli kweli...
  5. L

    KANGI LUGOLA kutolewa kafara!

    Haswaaaa! Umenena mkuu. Tungekua na wabunge 50 tu km Mh Kangi Lugola ndani ya chama cha "mizigo" nchi hii ingesonga mbele sana kiuchumi,kisiasa na Kimaadili.
  6. L

    KANGI LUGOLA kutolewa kafara!

    Mh Mbunge Kangi Lugola,ambae amekuwa mwiba mkali kwa Mawaziri huenda akatolewa kafara baada ya kutumiwa massege za kutishiwa kuuawa huku yeye akisema kuwa hataenda kutoa ripoti Polisi. Hii ni baada ya mh Kangi Lugola kuwa miongoni mwa Wabunge waliotamka wazi bila kificho ndani ya Bunge kuwa mh...
  7. L

    Mwenyekiti wa Tawi (CCM) akamatwa na polisi kwa kuvunja tawi la CHADEMA

    Ni kweli huyu bwana anaitwa GODFREY MOLLEL ni mwenyekiti wa Mtaa ninaoishi lakini huwa ana kiherehere sana. Nimejipanga kumngoa ktk uchaguzi ujao mwakani endapo CCM watamrudisha kugombea tena. Huyu jamaa huwa anapenda sana kunyanyasa na kuwatishia watu haswa Makabila,lakini kwangu huwa...
  8. L

    Lipumba: CHADEMA malizeni mgogoro

    Hivi siku kuu ya mwaka mpya itaangukia siku gani?
  9. L

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kufariki kwa aliewahi kua Rais Mzalendo mweusi wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela.
  10. L

    Zitto: Nilichukua kadi ya CHADEMA mwaka 1993, Wakati wengine wakiwa bado CCM

    Hoja yako ni ya msingi sana,ila sasa sijui km wahusika watakua wamekuelewa ama? Ninachokijua mimi ni kwamba Hata km umekuwa wa kwanza kuchukua kadi au kujiunga ktk chama,haimaanishi kwamba wewe ni bora kuliko wengine lakini sio hivyo tu, Whalid Kaborou ni miongoni mwa Watanzania wa kwanza...
  11. L

    Walioangalia taarifa ya habari ya Star tv wameona ukweli wa hali ya Kigoma ilivyokuwa jana

    Kwa hiyo ulitegemea watu waliondaliwa wangesemaje? Mbona ni very simple sana kwamba hata Ingekua ni wewe watu wa kwenu lazima tu wangekupokea hivyo? Tafuta habari nyingine ya kuandika hii achana nayo kwani haina tena mshiko kwa sasa. Hao waliohojiwa ni Vichwa maji tu kwani ingekua wanaipenda...
  12. L

    Mwigulu amwonya spika Anne Makinda

    Mwigulu anayo laana ya DAMU ZA WATU. kinachomsumbua ni wivu tu hakuna kingine,anatamani Mbowe awe anampeleka yeye Dubai kumpa maraha.
  13. L

    Tanzia: Aliyekuwa Diwani wa Makuyuni, David Pelo afariki dunia

    Ni kweli amefariki leo asubuhi. Baada ya kusoma habari hizi hapa Jamii Forum,nilimpigia Mdogo wake marehemu aitwae Kipanga na simu yake ilipokelewa na mtoto wake na kuniambia baba kalala anaumwa. Nilipomuuliza ni kweli Baba yako mkubwa kafariki akasema ndio kafa leo.nikamuuliza je alikua...
  14. L

    Tanzia: Aliyekuwa Diwani wa Makuyuni, David Pelo afariki dunia

    Ni kweli amefariki leo asubuhi. Baada ya kusoma habari hizi hapa Jamii Forum,nilimpigia Mdogo wake marehemu aitwae Kipanga na simu yake ilipokelewa na mtoto wake na kuniambia baba kalala anaumwa. Nilipomuuliza ni kweli Baba yako mkubwak
  15. L

    Hii ndiyo Ripoti iliyowang'oa mawaziri (Ripoti ya Lembeli)

    Taratibu Gamba unaanza kurejea kundini. Vipi sasa kuhusu Waziri mkuu je sio muda muafaka wa Mr Dhaifu kumwajibisha? Na asipomwajibisha si bora tuitishe maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima ili wote Mr Dhaifu na Wapigwe tu wajiuzulu?
  16. L

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Waziri wa mali asili Kagasheki ametangaza muda huu kujiuzulu cheo hicho. Ni muda huu Bungeni
  17. L

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Hii mbinu wanayokuja nayo CCM kwa kuitumia tume ya taifa ya uchaguzi hakika ili kushinda uchaguzi mkuu 2015'watafanikiwa kwa 100%! Ni wakati sasa wa vyama vya Upinzani na wana hararakati wote kuungana kuishinikiza serikali kuipa tume ya taifa ya uchaguzi pesa za kuboresha daftari la wapiga...
  18. L

    NEC yatangaza uchaguzi kata 27 kufanyika mwezi February mwakani

    Hizo kata mbili zitakazochukuliwa na Chadema hapo kabla zilikua chini ya chama gani? Kwa sababu hata ikichuliwa kata moja na ilikua ikishikiliwa na chama cha Majambazi(Ccm) huoni kwamba Chadema kitakua kimepanda huku Ccm kikiwa kimeshuka?
Back
Top Bottom