jk alistaafu jeshi akiwa luten kanali so aliyekuw bodyguard wake wa awali alipnd cheo n kuwa brigadia so kitaratbu za jeshi lao haitakiwi brigadia kuw bodyguard wa luteni kanali ndo maana bodyguard wa sasa hivi n luten kanali
Mali za wakuu hizo baba...mby zmepita kimyaa kimyaa..mpk kukamatwa iringa...,hii inamaana road block zte za mby zimelala n polisi wote wa mby wanakoroma cyo...au ndo mlungula ulitembea hapo....kunani askar mbeya.....?
Hivi watanzania....tujiulize kujiuzuru kwa waziri n suluhisho...me nahisi n hatua ya awali baada ya hapo sheria ichukue mkondo wke ila c kwa mahakama za majaji wezi wala rushwa n wasiotenda haki km mahakama za nchi hii ikiwezekana wafikishe the heity uholanzi...
Kweli kbxa kaka, watu wengi wana aibu kwamba wataonekanaje kwa jamii iliyo wazunguka...pia kuna hili swala la kukatixhana tamaa pia n tatizo kubwa ktk miongoni mwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.