Search results

  1. Mpenda kazi

    Nauza kin'gamuzi cha Azam

    Kipo vizuri sana nakitumia home tu. Nauza 100000/= tu Nipo Arusha. 0765394591
  2. Mpenda kazi

    Namna ya kujua mwaka uliojiunga Facebook

    Habari wadau Kwa kipindi kirefu sasa (miaka kadhaa) tokea nilipojiunga na mtandao wa Facebook tatizo nimesahau exactly year niliojiunga kwa mara ya kwanza. Naomba msaada kujua ni Lini hasa nilipojiunga na mtandao huu. Angalizo Kabla ya kunielekeza jaribu kwanza wewe mwenyewe kunangalia...
  3. Mpenda kazi

    Mkuu wa wilaya ya ARUMERU umefanya kosa kubwa san la kula matapishi

    Mnamo siku ya jumatatu ya tarehe 30/08/2016 mkuu huyu wa wilaya alitangaza kuwavua madaraka maafisa elimu wawili. Afisa elimu wa halmashauri ya wilaya ya Arusha na afisa elimu wa halmashauri ya Meru. Lakini pia aliwasimamisha wakuu wa shule kadhaa kutoka wilaya hii miongoni mwa shule ambazo...
  4. Mpenda kazi

    Kujisajili na google adense katika blog ya kiswahili

    Wadau habari Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani nimejaribu wamekataa.
  5. Mpenda kazi

    NAUZA PLAYSTATION TWO 2

    Zipo katika hali nzuri pamoja na pad zake, flash zake na games. Bei ni sh. 150000 kwa moja. Zipo mbili. Kwa mawasiliano 0717 743549 Nipo Arusha.
  6. Mpenda kazi

    Walimu ambao tumeajiriwa na Serikali mwaka huu tutalipwa mshahara?

    Habari wadau? Nimekaa nakutafakari mwenendo wa serikali yetu hii tokea mwaka huu 2015 ulipoingia. Mwanzo kabisa walikuwa wakisua sua kutuajiri kwa kile kilichoelezwa kuwa serikali haina pesa za kutosha. Haya sawa mara ilipofika tareh 27 april wakaamua kutuajiri kwa mizengwe zengwe hivyo...
  7. Mpenda kazi

    Nokia E63 inauzwa kwa bei nafuu

    Nauza sh. 80000 tu ina hali nzuri sana. Ni ya 3G inakubali application nyingi tu zikiwemo; whatsup, n.k kwa mawasiliano tumia : 0717743549
  8. Mpenda kazi

    Form six na wengine : Uliza chochote kuhusu Muslim University of Morogoro

    Habari wadau wa JF Nimefungua uzi huu kwa yoyote mwenye kutaka kujua zaid kuhusu chuo hicho, location, kozi wanazotoa, taratibu za application na mambo mengine ya msingi unayotaka kujifunza kutoka chuo hiki. ANGALIZO : Kama unataka tujadili kitu hapa basi tafadhali si vizuri kuleta maswala...
  9. Mpenda kazi

    Mkopo wa milioni kumi kwa hati ya nyumba

    Habari wadau. Nina nyumba ipo Kiwalani karibu kabisa na ukuta wa uwanja wa ndege. Lakini nyumba hiyo ni ndogo sana kiasi kwamba mbele ya nyumba kuna nafasi ya kujenga mjengo mwingine. Sasa kwa kutumia hati ya nyumba, nahitaji kupata mkopo wa milioni kumi kwa ajili ya kujenga eneo...
  10. Mpenda kazi

    Nipo tayari kwenda kuijadili rasimu ya katiba bila ya kulipwa

    Habari wadau wa jf! Jamani kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nionane na RAIS ili nizungumze nae aniteue niende kuijadili rasimu ya katiba bila malipo yoyote, nitatumia gharama zangu mwenyewe. Watu wanadhani ni masihara lakini nipo serious, naomba wadau tena ikiwezekana nitoe kiingilio...
  11. Mpenda kazi

    CareerDollar ni ukweli.

    wadau naomba kuuliza kuhusu hii kitu ni kwamba kuna mwana JF mmoja alikuja na maelezo yanayohusu kujiunga na CareerDollar kisha kutengeneza pesa bila ya kutumia nguvu nyingi. Sasa wana jf wengi walisema kwamba ni WEZI ila kwa upande wangu sikudharau nikajaribu kujiunga na nikapewa link yangu...
  12. Mpenda kazi

    PICHA:Mini Photocopy Machine inauza

    Ina ubora na uwezo wa hali ya juu bei ni 350000. Nipo Morogoro Mjini. watakao hitaji bei maelewano.
  13. Mpenda kazi

    Usambazaji wa decoder za AZAM tv huku mikoani upoje?

    Habari wana jf? Nilikua naomba kuuliza kuhusu usambazwaaji wa bidhaa hiyo utaratibu ukoje? Mimi nipo hapa moro na kuna watu wengi wanaulizia sana decoder hizo sasa naomba nijulishwe.
Back
Top Bottom