Search results

  1. BONGOLALA

    Wakati RC Mtaka anapambana wanafunzi wasome kupitia mtandao, RC Makonda anapambana na Wabunge

    Ni jambo la kisikitisha sana RC wa Dar es Salaam kutoona umuhimu wa elimu kwa watoto katika kipindi hiki cha mlipuko wa Corona na kudakia mambo ya wabunge yasiyomhusu. RC Mtaka anapambana watoto wasome online kipindi hiki, huku RC DSM anapoteza muda mwingi katika media kwa mambo yasiyo ya...
  2. BONGOLALA

    Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam. Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
  3. BONGOLALA

    Kauli ya Spika Ndugai Sii ya Kubeza

    Nimemuona akisema ana mambo makubwa juu ya taifa stars lakini hataki tuu kuyasema jee ana maana kamati ya uhamasishaji imevurugika?jee kuna upigaji wa pesa umetokea mpaka kutamka wachezaji wana lishe duni? Kilichonishtua zaidi ni kusema HUYU KIONGOZI WA SERIKALI ANA VIKUNDI VYAKE VYA VIJANA...
  4. BONGOLALA

    Kwa mtindo huu kuikomesha rushwa ni ndoto

    Tumeshuhudia leo RC dsm akisema bila woga kuwa alipewa sh 147m na marehemu Mengi eti akalipe deni,Jee sheria zetu za rushwa zinaruhusu mtu mwenye mamlaka fulani kupokea pesa bila utaratibu wowote wa kiserikali au jamii kama fund raising. Jee ni wafanyabiashara wangapi wanaliliwa shida na huyu...
  5. BONGOLALA

    Naibu Spika kuacha shughuli za Bunge kuambatana na rais imekaaje?

    Tunashuhudia Dr.Tulia akiwa katika msafara wa rais huko mbeya.Jee yupo huko kama mbunge au nani?Jee shughuli za bunge sii muhimu kuliko kuambatana katika ziara na rais?Jee tunaposema mhimili wa bunge umemmezwa na serikali tunakosea?
  6. BONGOLALA

    Mji wa karatu msafi sana na sababu kuu hakuna matumizi ya mifuko ya plastic

    Mji wa karatu msafi sana na sababu kuu hakuna matumizi ya mifuko ya plastic ile meusi iliyo zagaa katika majiji yetu. Tusisubiri tamko la waziri wa mazingira kupiga marufuku tunaweza anza katika halmashauri zetu kwa kuongea na wafanya biashara watumie mifuko ya karatasi au ile inayodumu ya sh 500.
  7. BONGOLALA

    David Beckham yupo Tanzania

    Dalili nzuri ya kukuza utalii wetu
  8. BONGOLALA

    Foleni Kubwa kupisha msafara wa kiongozi

    Nipo njiani toka tegeta tangu SAA 4 foleni ni kubwa sana kuanzia afrikana mpaka mwenge kisa kuna kiongozi atapita toka mjini kuelekea tegeta au kunduchi.Hii ni mbaya sana walau, kipindi cha Kikwete hali hii iliisha kabisa ya kusimamisha shughuli za watu kisa msafara,Ila Kwa awamu hii naona jambo...
  9. BONGOLALA

    Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

    Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika? Huo ni uchokozi na uchochezi ulio wazi,swali kwani ccm hakuna watu wa kufanya matangazo hayo? Kwa...
  10. BONGOLALA

    Ccm yaendelea kuwatumia walemavu kuomba kura

    Tunaendelea kushuhudia jinsi walemavu wanavyotumiwa na wagombea wa ccm ili kujipatia kura Hasa yule Mpanju.Tunaomba ccm wasitafute kura za hurumaa
  11. BONGOLALA

    Kundi la vijana ccm wavamia mkutano wa chadema kange Tanga

    Ccm wameishiwa kiasi kwamba sasa wanakodi mamluki kuvuruga mikutano ya chadema.source ITV
  12. BONGOLALA

    Bima za Afya kama AAR zichunguzwe

    Nimesikitishwa sana utapeli unaofanywa na kampuni ya AAR Healthcare,hawa wanakuja kwa mwajiri na wafanyakazi kwa maneno matamu na huduma bora,kinachotokea wanatenga kwa mwaka sh 700,000 kwa magonjwa ya kawaida Outpatient na milioni 20 kulazwa Inpatient huku wakijua kabisa magonjwa mengi ni ya...
  13. BONGOLALA

    Nguvu ya umma yafanya kazi mto wa mbu

    Wananchi wamewaondoa viongozi wa ccm waliojipa madaraka kinyemela ya serikali ya kijiji.Polisi walibaki wakishangaa tuu.Viongozi wa chadema wasimikwa kwa nguvu ya umma.source ITV habari
  14. BONGOLALA

    Nguvu ya umma yafanya kazi mto wa mbu

    Wananchi wamewaondoa viongozi wa ccm waliojipa madaraka kinyemela ya serikali ya kijiji.Polisi walibaki wakishangaa tuu
  15. BONGOLALA

    TICTS yamuondoa Dr. Mwakyembe uchukuzi!

    Kitendo cha Mwakyembe kumtishia mkurugenzi wa TICTS juu ya utozaji exchange rate tofauti na ya BOT,inaonekana ameingilia maslahi ya kigogo kwani mnakumbuka TICTS iliongezewa mkataba wa miaka 25 kimya kimya.Karamagi pale ni boya tu.
  16. BONGOLALA

    Richard Mabala:Vijana wanaweza leta mabadiliko ya utawala tanzania

    Akihojiwa bbc swahili,vijana wapo 70% wakijiandikisha na kusambaa vijijini wanaweza leta mabadiliko katika uchaguzi ujao 2015.UKAWA tuwekeze vijijini sana na haswa kwa vijana na kina mama
  17. BONGOLALA

    Pinda atangaza kuwania urais

    Source: dira ya dunia BBC kwa viongozi wa namna hii wanaowazia vyeo bila ku deliver, tusitegemee maendeleo katika nchi ya tanzania!Nafasi ya uwaziri mkuu hajafanya jambo lolote la kukumbukwa na watanzani leo anataka urais!Bora mara 1000 urais angegombea Mr.Mwaibula mwanzilishi wa route za...
  18. BONGOLALA

    CCM mmeona madhara ya kura ya wazi?

    Wakati wa kutunga kanuni tulishuhudia wajumbe wa CCM mapovu yakiwatoka kung'ang'ania kura ziwe za wazi ili mliowapa rushwa wasiwasaliti, matokeo yake sasa uhai wa wajumbe upo mashakani na pia rasimu yenu kukataliwa waziwazi na serikali ya mapinduzi Zanzibar maana mwanasheria mkuu Zanzibar...
  19. BONGOLALA

    Komba:MZEE WARIOBA NI SHIDA

    Komba bungeni anasema vurugu zote ni mzee warioba kasabibisha,ameomba BMK wamtolee tamko mzee warioba!komba amejisahau kuwa uhuru wake umeshanunuliwa na Manji baada ya kulipiwa deni la crdb
Back
Top Bottom