Search results

  1. Lady.A

    Naomba mnisaidie namna ya kuagiza bidhaa Uganda

    Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati. Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm nahitaji msaada wa karibu tafadhali. Nimesoma Uzi za nyuma zinazohusu biashara za nguo Uganda lakini...
  2. Lady.A

    Natafuta soko la mahindi mabichi

    Habari Wakuu, Nina heka moja ya mahindi mabichi natafuta mnunuzi, shamba lipo Kilombero Morogoro. Nisaidieni wakuu.
  3. Lady.A

    Nimewamiss wana Janvi

    Nina hamu ya kuchat leo..😜
  4. Lady.A

    Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

    Habari zenu wana mmu, Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi. kimegeuka, utakuta mwanaume...
  5. Lady.A

    Nani yuko sahihi?

    Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare na nyinyi juu ya hili swala la lawama kwa pande zote mbili. Siku hizi imezuka misemo utasikia eti "wanaume/wanawake walikuwa zamani bwana siku hizi hakuna kitu" kwani hawa wanawake/wanaume WA siku hizi wamezaliwa wapi na wamelelewa na akina nani...
  6. Lady.A

    Habari zenu wadau

    Nawasalimia wapenzi, nimewamiss sana, mmko poa?
  7. Lady.A

    Uyoga ni mzuri na ni mtamu, una vitamini zote, Karibuni

    Uyoga unauzwa kwa bei nafuu, ni uyoga wa hapa hapa Tanzania, ni fresh, haujawekwa madawa. karibuni kama ukihitaji tuwasiliane kwa pm baadae tutapeana namba. KARIBUNI SAAAANA.
  8. Lady.A

    Msaada wa mawazo kuhusu malipo ngazi ya BOS1

    Mwenye kujua kiwango cha mshahara ngazi ya BOS1 anisaidie tafadhali.
  9. Lady.A

    msaada wana chit chat!

    habari wapendwa, mimi naomba kuuliza, ingawa sio mgeni sana hapa lakini hiki kitu sikielewi! hapa kuna kale kamtindo ka uchumba, kuoa na kuolewa! hivi kweli mnamaanisha au ni kamchezo tu? maana watu wanafanya kama kweli! sasa mimi najiuliza ina maana hawa wote wanakuwa hawana wake/waume huko...
  10. Lady.A

    jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

    nilikuwa nikiona watu wanalalamika, upwekd, upweke! sasa nimeona mwenyewe! loh, upweke noma.
  11. Lady.A

    msaada tafadhali

    habari wapendwa, swali langu ni kwamba katika viwanda hivi vya plastik kama vile simba, cello n.k, wanapokea oder ya mtu binafsi au wanatengeneza vya wao kuuza tu? na kama wanapokea oder kutoka watu binafsi je ni kuanzia sh. ngapi wanaweza kupokea oder yako? mwenye kuelewa tafadhal anisaidie...
  12. Lady.A

    Pilipili ni dawa?

    habari zenu. najua wengi mtakubaliana na mimi kwamba kiungo pilipili ni mojawapo ya vitu viletavyo hamu ya kula. lakini kuna wengine wanasema pilipili sio nzuri kwa afya, na wengine usema ni dawa, hata mimi naunga mkono kwamba ni dawa, kwani hutibu kwa wale wa Kigoma, wale funza wasiotibika...
  13. Lady.A

    usaili s.u.a

    habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi SUA Morogoro zilizotangazwa octoba. wameishaita kwa interview?
  14. Lady.A

    hivi ni kweli u.t.i tu?

    maumivu makali jamani sehemu za siri, hasa wakati wa kukojoa, na vimkojo vinatoka kiduchu na vya mara kwa mara, nilienda hosptl nikapewa flagyl na doxcycilin, ni siku ya nne sasa natumia dozi, cha ajabu maumiv yanazidi kama vile kuna vidonda. je, hii ni u.t.i tu au kuna mengine? msaada wapendwa...
  15. Lady.A

    hivi wanaume wana wivu, au ni ubabe tu?

    mimi huwa najiuliza mara nyingi bila jibu, hivi inakuwaje mwanaume anapocheat au kufanya kosa la usaliti wa namna yoyote ile, uliona kama ni kitu cha kawaida tu, bila kufikiri ni maumivu gani anayoyapata msalitiwa. ila sasa ngoma inakuja kuwa tamu ukigeuza upande wa pili, yaani mwanaume...
Back
Top Bottom