Search results

  1. K

    Mtoto wa Kingunge, Kinje amtaka baba yake aache kutumiwa

    Amekosa adabu, halafu watu wazima wanashangilia utovu wa nidhamu. Hata vitabu vitakatibu vinatuonja kutoa maneno machafu kwa wazee
  2. K

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Mimi sitaki hata kumsikia kwani nimeishaamua kura yangu kwa lowasa. Huyu mtu muulizeni jimboni kwake amefanya nini? kuna shida kulikoa hata alivyolikuta jimbo. Maji shida, umeme shida, barabara shida na halafu leo hii anajifanya anaijua richmond kuliko kuhangaika kuleta maendeleo. Sisi...
  3. K

    Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Hta yangekua kutoka CCM F, tutabadilisha tu. Tumechoka kua na viongozi walalamikaji angalau mzee we Monduli anafanya maaamuzi na kuyasimamia. Huyu wako ni migogoro kila anakofanyakazi na vitisho vya kutishia watu kama watoto. Kulalamika kumelala pale. Poleni sana...
  4. K

    Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Chama chake kiko madarakani mpaka muda huu, anatuambia sisi tufanyeje? Serikali ya kila mtu kulalamika hatuitaki, tumechoka nayo. Wafanye kazi hawawezi mabadiliko hayakwepeki
  5. K

    Kuwa sehemu ya mabadiliko (Lowassa) - Hakuna kulala mpaka Oktoba 25

    Ghosryder Soma nyakati na majira utaona dalili zote za ushindi kwa Lowasa. Angalia vipindi alivyopitia, mabomu yaliyorushwa na nguvu inayotumiwa na CCM. Asingekua Mungu kua na Lowasa asingefika hii leo akiwa hapo halipo. Tunaimani kua ni mpango wa Mungu kutokea haya yaliyotokea. Angalia...
  6. K

    Kuwa sehemu ya mabadiliko (Lowassa) - Hakuna kulala mpaka Oktoba 25

    Ndugu zangu watanzania ni ukweli usiopingika kua tunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo katika nchi yetu. Kwa miaka 54 chini ya utawala wa CCM hakuna cha kujivunia, hali inazidi kua mbaya kila wakati. Elimu yetu iko ICU, vijana tumetupwa na mfumo na uchumi wetu umekua stagnant kwa miaka mingi...
  7. K

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Lowasa kafanya mengi katika kujenga misikiti kuliko waisilamu wengi tu waliopo hapa nchini. Chuki zenu hazina maana wakati huu. Tujenge Tanzania moja. Msiichafue dini yenu kwa kauli za kutisha kama hizi sidhani kama dini yenu inafundisha chuki kiasi hiki.
  8. K

    Lowassa aahidi kujenga hospitali ya Rufaa kwenye kila makao makuu ya wilaya

    Mzee kuna vitu unaongea hoja sana kama vison kwa taifa ila unaharibu na ushabiki unaoingiza. Ebu niambie ukweli Magufuli ana vision? Mimi nikimsikiliza lowasa ma Magufuli ninaona ni janga kwa magufuli kuliko lowasa, ni janga kwa CCM kuliko CHADEMA. Maana sioni vision kwa magufuli elimu kua bure...
  9. K

    Uhusiano kati ya Janaba na Mikosi

    Mimi mkuu sijajua maana ya janaba ila kwa mambo ya kiimani kuna connection kati ya kulala na mtu na kuwa na mikosi. Kiimani ni kua mtu unapolala na mwanamke maana yake umekua mwili mmoja, mumeunganika katika ulimwengu wa kiroho. Watu wengi hua hatufualitii chanzo cha mabalaa katika maisha...
  10. K

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Huyu jamaa ni msaliti sana. Anasema anapinga rushwa wakati nyuma ya pazia kapokea rushwa. Nguvu yote ya kuongea imejaa rushwa. Alituaminisha CCM haifai leo hana hata chembe ya aibu anaipigia chapuo CCM. Haya ni yale yale kama chadema walimkataa lowasa hata yeye alikataa CCM. Ukweli uko wazi CCM...
  11. K

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Mbona mumepanic mapema, tar 25 sio mbali na hata dalili ziko wazi. Jiwe lililokataliwa na muashi litakua jiwe kuu la msingi. Kama urais ni barabara basi hamna hata jaha ya kampeni Magufuli kapigiwa kura na barabara. Sisi tunamtaka lowasa. Suala la CCM kumkataa halituhusu, tunamtaka huyohuyo...
  12. K

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Kumbe unalinganisha na Magufuli? Lowasa sio saizi ya Magufuli bana. Sasa angalia vizuri utaona ila usiangalie kwa kupanic ukweli unaonekana wazi. Mimi sio mpambe wa mgombea yoyote but Ukweli ni kua Lowasa yuko vizuri kuliko magufuli. Magufuli anafanya mizaha sana kwenye kampeni zake vitu ambavyo...
  13. K

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Nimefanya jitihada za kutafuta hio video clip na nimeingalia lakini inaonesha umeshindwa kutafsiri ujumbe. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kuwa watu waliandama na kuimba baada ya mkutano kumalizika kitu kilichowalazimu polisi kutumia mabomu kuwatawanya. Watu waliondamana ni watu wa UKAWA na...
  14. K

    UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    Hii nchi inashida sana. Huyu mtu akiambatana na matajiri nogwa akiwa karibu na masikini nongwa. Sasa mnataka mzee wa watu afanye nini?. Akina slaa walisema eti hawa matajiri anaoambatana nao ni wale wale mafisadi sasa kachangiwa na malofa bado maneno hayaishi. Tusubiri tu October 25 tumechoka na...
  15. K

    Siri ya Lowassa yavuja

    Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, Sumaye atawezaje kua mbunge wa kuchaguliwa? Hapo ndo uongo unapodhihirika.
  16. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Kupiga utaua bure ukafie jela. Mambo mengine potezea ila angalia jinsi ya kumsaidia inaweza ikawa ni mapepo. Mtu mwingine hajitambui hata anavyofanya. Maombi tu ndo silaha ya kweli hio inaweza kua spiritual attack. Mimi sikushauri kupiga, mimi nimewahi piga mtu akakata kauli kwa muda but alirudi...
  17. K

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    It is also happening to me. Simuoni kabisa akiwa Rais na sijui kwa nini pia. Katika uchaguzi unahitaji maombi, nafikiri huu ni wa kwanza. Hata hivyo unaweza kuona watumishi wengi wa Mungu wanaomba sana juu ya huu uchaguzi. Huu uchaguzi ambao utatikisa misingi ya taifa letu na Mungu aiposingilia...
  18. K

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Nyinyi bana naona mumefirisika kimawazo, majibu yenu kila siku ni kudhani waelewa wa kila kitu. Ni much know sana kuliko TCRA kama sio watanzania wote. Hoja hazijengwi juu ya udhaifu wa mwingine kuhalalisha kufanya kosa. Ni bora ukakaa kimya, sio lazima ujibu kila kitu. Nenda TCRA kawaambie hizo...
Back
Top Bottom