Search results

  1. C

    Hivi tunatoka wapi na tunaenda wapi kielimu....

    salams,mimi naona swala la elimu si kuangalia quantities in terms ya demand na supply bali qualities in terms of demend na supply. nachojaribu kusema ka kifupi ni kuanza mwanzo kabisa from zero.kama kujiuliza bila hisia za woga,au aibu,kujifananisha,kuiga n.k.je elimu ni nini?then tuende kwenye...
  2. C

    Majibu ya JK yamekwepa hoja!

    tunavyofuata mambo bila ya kuangalia undani wake ndio maana tunashindwa hata kuwa na uwezo wa kimawazo,leo hii kikwete kujibu maswali mawili matatu kwenye tv,watu wasema ni historia, kwanza jiulize,je kuongea kwenye tv na wannchi wawili watatu ndio njia bora ya kujua...
  3. C

    Kikwete na TV

    huyu kikwete ameenda huko ili kuonyesha anajali mambo ya wananchi,lakini mbona hakufanya hii mijadala mpaka wakati wa uchaguzi umefika?watz amkeni kimawazo sio kupiga mbiu tu!!!!!!kwani hata mtu mmoja hakumwuuliza, je lengo la ufumbuzi wa matatizo yawatanzania ni lipi? bila kuja lengo la...
Back
Top Bottom