Search results

  1. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana. Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini...
  2. O

    Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Wewe una mke wako au mme wako ambaye mmeishi pamoja kwa miaka kama kumi na mna watoto wawili. Atakapo kufa mama yako au mke au mme wako wote utasikia uchungu lakini unadhani yupi zaidi atakupa uchungu, je ni mama yako aliyekuzaa au ni mke/mume wako aliyezaa nae na kuishi nae kwa miaka kumi...
  3. O

    Baada ya vijana kuoa huwatupa mama zao

    KIJANA AMBAYE HAJAOA (I) Huwa anampenda sana mama yake, mama yake ndio anakuwa first class, endapo mama yake anaumwa na mchumba wake anaumwa basi atampeleka mama yake hospitali kwanza kabla ya mchumba wake. BAADA YA HUYO KIJANA KUOA (II) Mke wake anakuwa firsr class, yaani mama yake mzazi...
  4. O

    Uraisi si kazi ya u-MC wala Ulinzi wa night club

    Na MCHUNGUZI HURU (Associate Professor) Kuna watu wazima na akili zao na jamii inawaheshimu eti wanalalamika mbona Lowassa hakuongea sana, mmeambiwa Lowassa anagombea nafasi ya u-MC wa harusi? Eti afya yake inatia shaka, angekuwa anataka kuwa security wa night club ni sawa lakini kwa...
  5. O

    Mikutano ya UKAWA vyombo vya habari kuonyesha meza kuu, hawaonyeshi umati wa watu

    Walianza Clouds tv kutoonyesha umati mkubwa wa watu wanaofurika kwenye mikutano ya Lowassa na hivi sasa ni vyombo vingi vya habari wanafanya hivyo, leo ITV wameonyesha mkutano wa Lowassa na mama zetu uliyofanyika Millenium Towers kuanzia mwanzo mpaka mwisho wameonyesha meza kuu hawajathubutu...
  6. O

    Natafuta mtu wa kufuga nae nguruwe

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kufuga nguruwe lakini nina changamoto moja kubwa ninayoipata hivyo nahitaji mtu wa kuingia nae ubia tufanye pamoja. Vigezo: i. Huyo mtu awe na eneo la kufugia ii. Hilo eneo liwe pembezoni mwa jiji la Dar au mkoa wa Pwani au Morogoro Yawezekana tayari...
  7. O

    Leo tujadili kuhusu utengenezaji wa viberiti na fursa iliyopo

    Wakuu, Binafsi naona kama utengenezaji wa viberiti ni fursa kubwa sana kwakuwa soko lake lipo si la kutafuta kabisa. Kwa wenye uelewa wa utengenezaji tunaomba tubadilishane mawazo hapa katika nyanja zifuatazo; i. Njiti za viberiti (hili najua halitakuwa tatizo kwakuwa nchi yetu ina miti mingi...
  8. O

    Huu ni umri wa wanawake wanaoongoza kuwa na wanaume wengi

    Wanawake wenye kati ya umri wa miaka 23 mpaka 33 wanaongoza kuwa na wanaume wengi kuliko wenye umri chini ya huo au zaidi ya huo. Sababu kubwa ni kwamba wakiwa katika umri huo wanakuwa wanahitaji mwanaume wa kumuoa wakati huo huo kuwa na mwanaume mmoja pekee ni risk zaidi kwao kwakuwa wanaume...
  9. O

    Kikwete kuzidisha ukaribu na Magufuli

    Siku zinavyozidi kwenda ndipo raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Bw. Kikwete anazidisha ukaribu na mgombea wa CCM-Magufuli, alipo Magufuli na JK yupo. KWANINI? i. Vigogo wengi ndani ya chama wamemzilia kwakuwa yeye ndiye aliyekuja na hayo majina mfukoni mwake, hivyo wamemuachia mzigo wake...
  10. O

    Kutokuwepo kwa Mizengo Pinda ufunguzi wa kampeni Jangwani

    Waziri mkuu hakuwepo katika ufunguzi wa kampeni wa mgombea wa CCM. Taarifa nyeti ni kwamba bado Mizengo Pinda bado ana kinyongo kutokana na kukatwa jina lake bila hata kuingia tano bora. Pia, kumekuwepo na taarifa kuwa Pinda ameacha kwenda ofisini toka alipokatwa jina lake na taarifa hii...
  11. O

    Fursa za biashara nchini Zimbabwe

    Ukweli ni kwamba thamani ya pesa ya Zimbabwe ipo chini sana mpaka wamefikia hatua ya kususa kuitumia, pesa ya afrika kusini pamoja na dollar ndio zinatumika zaidi. Lakini, je? hakuna fursa yoyote ile ya kibiashara? Kama kuna mtu ameishi Zimbabwe hasa Harare anaweza kutupa uzoefu wake fursa...
  12. O

    Walio chini ya miaka 18 waanze kupiga kura sasa

    Hawa wenye umri chini ya miaka kumi na nane:- 1. Wakiua huwa wanafungwa jela 2. Kodi za nchi hii na wao pia wanashiriki kulipa 3. Haki zao zitawakilishwa bungeni kwakuwa usipozisimamia hawatakuchagua tena 4. Kama kuna watu walio na zaidi ya miaka 18 wasio na akili za kujitegemea wakihongwa...
  13. O

    Poll: Diamond vs Alikiba

    Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili. Chagua msanii unayemkubali kisha vote. Team zote mbili karibuni sana Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
  14. O

    Hip Hop ipo mahututi nchini Tanzania, inakufa muda wowote

    IELEWEKE, mimi ni mpenzi na shabiki wa muziki wa Hip Hop. Ndio muziki pekee nikiwa nasikiliza kama nikishindwa kufanya chochote kile lazima nitikise kichwa. Ukweli ni kwamba hivi sasa muziki wa hip hop nchini hivi sasa ipo katika hali mbaya sana. KWANZA, hakuna wana muziki bora wa hip hop...
  15. O

    Natamani kuwa Mzungu

    Kuna mambo huwa tunaona Waafrika wenzetu wanafanya/ tunafanya na inakuwa fedheha kubwa, mpaka unajuta kwanini nilizaliwa Afrika. Ninaamini kuna Wazungu wengi wajinga lakini si katika level ya Waafrika sisi. Ni kweli kuwa mtaa kwao ni mtumwa lakini kuna mahali huwa inafika unaona kama...
  16. O

    Mke wa rafiki yangu anataka mtoto wao aitwe Lowassa

    Jamaa yangu amepata mtoto wa kiume jana. Hivi sasa wapo kwenye malumbano makali ambapo mme anataka amuite mtoto wao jina la baba yake (jina la babu wa mtoto) lakini mke hataki anasema mtoto aitwe Lowassa. Wakakubaliana wampe mtoto majina yote mawili lakini mke kasema jina la Lowassa ndio...
  17. O

    Wanaume wote tusiokuwa na pesa za kuhonga tukutane hapa

    Sisi wanaume tusio na pesa tumekuwa tukinyanyasika sana hapa mjini, tumekuwa tukinyanyapaliwa sana na wadada wazuri na hasa wenye makalio makubwa. Wanawake hawa wanatutenga kwakuwa tunaishi chumba kimoja, tunapikia humo humo, sebule humo humo, vyombo humo humo kiufupi ni kwamba wamasema...
  18. O

    Whatsapp: Jinsi ya kuwatambua wanawake waliotendwa

    Wanawake wengi wamekuwa wakiweka zaidi hisia zao kwenye mitandao ya kijamii, tofauti na wanaume ambao mara nyingi hukaa nayo tu moyoni mambo yao. Kupitia status za whatsapp unaweza kufahamu mwanamke yupo kwenye mood gani. Kuna aina za status ambazo huwa wanaweka, zipo za masomo, harusi nk...
  19. O

    Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

    Kama kuna mwanamke umekuwa ukimfukuzia kwa muda mrefu na amekuwa akikusumbua na unafahamu fika mwanamke huyo anapenda pesa basi zingatia hili. Tarehe nzuri kutongoza ni kuanzia tarehe 13 mpaka tarehe 24. Kwanini? Kwasababu ikishafika tarehe kumi na kitu kama mwanamke huyo ni mfanyakazi basi...
  20. O

    Chips yai sio ishu tena, siku hizi ni kitimoto tu

    Kipindi cha nyuma watoto wa shule na dada zetu kwa ujumla walikuwa wakipewa ''vibendi'' sababu ya chips yai. Siku hizi chips yai imeshuka hadhi, siku hizi utasikia dada zetu ''leo nina hamu ya kitimoto'' au ''dah! sijala kitimoto siku nyiingi kweli'' wajuzi wa mambo wakishaona hivyo basi...
Back
Top Bottom