Search results

  1. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    kwa hali ilivyo mpaka sasa, Lowassa ndiye raisii mkuu. Najuta sana kuandika ile thread
  2. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    kweli katushika pabaya sana mkuu kwakuwa hata mbinu zetu nyingi anazijua
  3. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    unapoandika mambo ya ajabu ajabu kama hayo ndiyo unasababisha sisi wanaCCM tuonekane hatuna lolote, october 25 Tanzania itachagua raisi wa facebook? kwani CCM ina mgombea wa uraisi wa facebook? acha kudhalilisha chama mkuu
  4. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Asante mkuu, mi nipo CCM lakini naona kabisa kuwa uchaguzi huu tumeshindwa
  5. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Hata ukinitukana haitabadili ukweli kuwa sisi wana CCM uchaguzi huu ni ugumu sana kwetu, ukweli unauma lakini tuwe tayari kuupokea
  6. O

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana. Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini...
  7. O

    Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

    Mleta maada naomba nikuulize swali, baba yako mzazi alienda kwenye msiba wa Nyerere? na kama alienda ni nini kiliongezeka msibani? au alienda tu kula pilau. Kwenda msibani si lazima hata wewe hujaenda katika misiba yote inayotokea
  8. O

    Msaada: Yadi inayokopesha magari

    mkalenda , unafahamu kwanini nchi yetu pamoja na misaada tunayopewa haiendelei??? Ni kwasababu ikichukua mkopo inapeleka kwenye expenses na sio investment. Ingekuwa serikali yetu inakopa kisha ina invest basi suala la budget ya serikali isingetegemea wahisani hata kidogo. Tafakari Kisha Chukua Hatua
  9. O

    Mil 3 itafaa grocery?

    Lonelyness , mtazamo wangu mimi ni kwamba tumia sh. milioni moja moja kufungua sehemu tatu tofauti za kuuzia chips hiyo itakusaidia kudiversify risk. Sijui upo wapi, kama upo dar hesabu maeneo mengi minimum ni elfu ishirini hivyo ukiwa na sehemu tatu ni sawa na elfu sitini kwa siku ambapo...
  10. O

    Ni dakika 5 za Lowassa

    Hata akiwa kichaa watanzania tutampigia kura
  11. O

    Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

    Huyo muuza chips kila anachokiona ye anafikiri ni kiazi.
  12. O

    Wanafunzi wanasombwa Bwenini kwenda kwa Magufuli Leo

    hahaha........... Michanga inaelekea mkutanoni
  13. O

    Baada ya vijana kuoa huwatupa mama zao

    mama zenu wakija kusoma hapa watalia sana
  14. O

    Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Wewe una mke wako au mme wako ambaye mmeishi pamoja kwa miaka kama kumi na mna watoto wawili. Atakapo kufa mama yako au mke au mme wako wote utasikia uchungu lakini unadhani yupi zaidi atakupa uchungu, je ni mama yako aliyekuzaa au ni mke/mume wako aliyezaa nae na kuishi nae kwa miaka kumi...
  15. O

    Deodorant zinapatikana

    Andika na aina (brand) ya hizo deodorant. I like you
  16. O

    Baada ya vijana kuoa huwatupa mama zao

    KIJANA AMBAYE HAJAOA (I) Huwa anampenda sana mama yake, mama yake ndio anakuwa first class, endapo mama yake anaumwa na mchumba wake anaumwa basi atampeleka mama yake hospitali kwanza kabla ya mchumba wake. BAADA YA HUYO KIJANA KUOA (II) Mke wake anakuwa firsr class, yaani mama yake mzazi...
Back
Top Bottom