Search results

  1. Nyani Ngabu

    Nani....?

    Unaongea na nani hapa Mwanakijiji? Au unajiongelesha mwenyewe 🤣…. Maana uzee unatunyemelea..
  2. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Umekwepa swali!!! Conjecture ipo palepale.
  3. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Sina hakika kama Samia ni anti-Magufuli. Ila, kama ni anti-Magufuli, basi ilikuwa ni sahihi ilivyotokea. Kwa nini umuweke karibu na wewe mtu anayekuhujumu? Still, it’s all conjecture. If it’s not conjecture, then it’s a one-sided story.
  4. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Magufuli aliwaita yeye mwenyewe hao watu watatu? Aliwaitaje? Aliwapigia simu? Aliwaandikia SMS? Alitumia WhatsApp? Conjecture tu…..
  5. Nyani Ngabu

    Uchawi wa tunguli ulivyo itoa jasho sayansi ya Nikola Tesla na Albert Einstein 1943

    Haiti wameshindwa kutumia matunguli yao kuboresha maisha yao 🤣. BS za matunguli hazina mashiko.
  6. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Una uhakika kuwa Samia ndo kawapa green light Makamba na Mabeyo kusema waliyosema au unahisi tu kuwa kawatuma waseme hivyo? For all we know, she could also have been an anti-Magufuli
  7. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Hakusema hizo sababu unazozisema wewe kuhusu kwa nini makamu wa Rais hakuwepo spitalini Mzena na kwa nini mke wa Magufuli naye hakuwepo hapo Mzena.
  8. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Makamba ni anti-Magufuli. Siyabebi maneno yake kuhusu Magufuli hook, line, and sinker. Ningependa kusikia kutoka kwa mtu ambaye hana upendeleo.
  9. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    That’s just your read of it. And looks like you’re reading way too much into it. Mabeyo hakusema yote hayo unayoyasema wewe. Kama nilibyosema jana, ingependeza kama angefanya mahojiano yenye follow-up questions. Tatizo watu wenyewe wanafanya vitu vingi viwe siri bila ulazima wowote ule. Na...
  10. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Popote pale nchini wangeonekana wanapiga kazi, hata ingekuwa ni Gambosi. Either way, mengi mnayojadili hapa ni speculations tu. Unless labda muwe mmeambiwa na Samia mwenyewe.
  11. Nyani Ngabu

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Kula sana vyakula vyenye viwango vingi vya protini. Nyama ya ng’ombe, kuku, kitimoto, samaki, mayai meupe, na kama unaweza, kunywa protein shakes.
  12. Nyani Ngabu

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Labda kulikuwa na mkakati wa kuonyesha kwamba serikali ipo na inaendelea kupiga kazi kama kawaida na ndo maana Samia alikuwa yuko Tanga kikazi….. Labda walipiga mahesabu yao wakaona kwamba itakuwa vyema viongozi waandamizi wakionekana wanafanya kazi kuliko kutoonekana maana tayari kulikuwepo na...
  13. Nyani Ngabu

    Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Mimi nawaza vyeo gani?
  14. Nyani Ngabu

    Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Wengine nao wako wapi waje waongee?
  15. Nyani Ngabu

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Mabeyo kuna mengi hakusema pia. Lakini na waandishi waliokuwa wanamhoji nao hawakuwa wanauliza follow up questions. Sijui kwa nini hawakuuliza kwa nini mke wake hakuwepo hapo wodini. Kwanza sikusikia hata maswali waliyoyauliza. Ni kama vile Mabeyo alikuwa anaongea yeye tu. Anyway, pasipo na...
  16. Nyani Ngabu

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Uhaba wa taarifa unawafanya watu wakisie sana. Sijui lawama nyingi ziende kwa nani, ila serikali kwa ujumla wake haiwezi kuzikwepa. Hivi inajulikana kwa uhakika kwa nini mke wake hakuwepo wakati anavuta pumzi ya mwisho? Vipi kama alikuwa kaenda tu nyumbani kupumzika kidogo na kuangalia mambo...
  17. Nyani Ngabu

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Hiyo ya wauza madafu ilinichekesha sana aisee. Unajua kuna mystique flani hivi ambayo watu wa usalama wa taifa bongo, wanayo. Sijui hata sababu ya hiyo mystique ni nini hasa. Si ajabu hata wewe Kiranga kuna watu humu wanakuona usalama wa taifa kisa tu huwa unahoji uwepo na nguvu za Mungu...
  18. Nyani Ngabu

    Nani....?

    I miss Rush…..ndo alikuwa inspiration yangu kwa kweli 😀. Kuwa entertained na kujifunza at the same time, nothing beats it.
Back
Top Bottom