Search results

  1. R

    Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Asante Mkuu, hope nikiulizia naweza kuziona, wana bango lolote au ni ndani ya jengo maarufu, nijuze tafadhali.
  2. R

    Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Jamani naombeni mwenye kufahamu ofisi za RITA Dar es Salaam mahali zilipo anifahamishe, natanguliza shukrani.
  3. R

    Jamani mnalikumbuka hili!.

    Mmenikumbusha, kulikuwa na kipindi cha ngano za muziki; kama kweli vile ile stori yake!
  4. R

    Zawadi gani inamfaa huyu

    Nimechanganyikiwa na matokeo ya Form Six October, au hii ni thread ya April! Nipeni ufafanuzi.
  5. R

    Naskia BSS bila kura ingekuwa catastrophy!!

    You are not sure, haikuwahi hata siku moja kuonyeshwa idadi ya kura kwa BSS ya mwaka jana, tell us something else.
  6. R

    Mtaalamu wa Linux anahitajika

    Mpigie jamaa mwenye no 0717222303, sio memba hivyo hataliona ili tangazo.
  7. R

    Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

    Jiulizeni kwanza kabla ya kumshambulia huyo jamaa, (in Muhaya) na inawezekana hakuna jina lolote kutoka kwenye ukoo wake linalotajwa na Mpoki, kinamwuma.
Back
Top Bottom