Search results

  1. K

    Wanafunzi UDSM kuishtaki serikali. Wataka kiswahili kiwe lugha ya kufundishia.

    wanafunzi wa shahada ya Uzamili - Kiswahili wa Chuo Kikuu cha Dar wapo mbioni kufungua kesi ya kikatiba katika mahakama kuu dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa kuzuia uhuru wa kutoa maoni/kujieleza kwa watanzania kwa kuruhusu watanzania wajieleze kwa lugha ya kiingereza, na dhidi ya sera onezi ya...
  2. K

    CHADEMA kuteketezwa

    je mnaikumbukam hiin thread yangu ya siku za nyuma? 2. Zitto Kuhamia CCM. Mosi, usalama wa Taifa, CCM wanaamini kuwa Zito atahamia CCM kabla ya Uchaguzi. Zito akiwa ahamini utendaji wa mbowe na Dr. Slaa anajua kuwa Chama kinaweza kufa wakati wowote. Pili, uswahiba wa JK na Zito ulianzia...
  3. K

    Freeman Mbowe: Mwasisi wa harakati za vijana

    FREEMAN MBOWE MWASISI WA HARAKATI ZA VIJANA. Akiwa amezaliwa kwenye Familia ya Kitajiri, tarehe 9 Disemba 1961, alipewa jina la Freeman "Mtu Huru". Baba yake alikuwa mfadhili mkubwa wa harakati za Uhuru, akiwa na Sykes, Rupia na wengine wengi. Akiwa ni kijana mdogo kabisa, alijiunga na...
  4. K

    New Targets: Slaa na Raia Mwema

    Jana nilisema kuwa "Chadema Kuteketezwa" Leo Mwana kijiji amekuja na jipya la Raia Mwema na Dr. Slaa. Taarifa za kina ndani ya Chama hicho kinadai, kuwa Dr. Slaa bado hajaridhia kugombea Urais licha ya kupata msukumo mkubwa kutoka kwa wananchi. Dr. Slaa ambaye ni Kiongozi makini kuliko wote...
  5. K

    CHADEMA kuteketezwa

    Ipo mikakati mingi sana inayofanywa na Serikali ya CCM, Usalama wa Taifa, pamoja na jeshi la ulinzi, ili kuweza kudhoofisha nguvu ya chadema Tanzania. Huku CCM ikitumia mfumo wa Usalama wa Taifa kuweza kuwasaidia katika mambo mengi ya kiusalama; Sasa mipango hiyo imeweza kusukwa kwa kutumia...
  6. K

    Johnson Mashaka na mbio za Ubunge Ukonga

    Hivi karibuni Dr. Kitilya Mkumbo alisema kuwa Johnson Mashaka anagawa fedha kama njugu! wakati akitoa mjdadal huo, wadau wa JF wakawa hawana uhakika na chanzo cha data hizo; hata baadhi ya wakazi wa Jimbo la Ukonga - JF wakawa hawana lao. Katika uchunguzi wangu niliofanya nimegundua yafuayo...
  7. K

    Vita vya mafisadi vinapopiganwa na watuhumiwa wa ufisadi wa ccm!!

    VITA VYA MAFISADI VINAPOPIGANWA NA WATUHUMIWA WA UFISADI WA CCM!! Chadema ilitoa shame of list – 11, ambapo namba kumi na moja alikuwa ni Jakaya Kikwete. Hoja hiyo sasa inaanza kuondolewa na mafisadi wanaobakia ni Balali, Lowassa, Rostam, Jeetu patel, Karamagi. Watu kama akina Mkono, Kikwete...
  8. K

    Johnson Mashaka na mbio za Ubunge Ukonga

    Ingawa sina uhakika na hicho chanzo: Kuna usemi mmoja wa Chadema unasema kuwa: MABADILIKO YA KWELI HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALE WALE WA CHAMA KILE KILE WAKIENDELEZA YALE YALE ETI KWA ARI, NGUVU NA KASI MPYA. Nasikia mojawapo ya majimbo ambayo Chadema itayachukua 2010 hapa Dar es Salaam ni...
  9. K

    Kikwete awasha moto...

    Sijui alizungumza kama Rais au Mwenyekiti wa CCM?!! Coz alimix kuzungumzia mambo na propaganda za CCM na Mambo ya kiserikali!! Ni matumizi mabaya ya vyombo vya umma - TBC. Nakubaliana na Rais mbadala - Dr. W. Slaa kwa 100%.
  10. K

    TBC iandae mahojiana kwa Wapinzani Pia

    Nakubaliana na wazo hilo. Vyama vya upinzani ni jicho la pili la jamii, lenye kukosoa, kushauri na kujenga, inabidi Tido Mhando aweze kuwaita viongozi wa vyama vya upinzani - Chadema na Cuf ambavyo vipi serious ili viweze kutoa ufafanuzi mbadala kama Vyama mbadala kwa Taifa hili. Sidhani kama...
Back
Top Bottom