Search results

  1. Lyangalo

    Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Ulishakwenda kwenda kupmba ishauri wakakunyima? Usikimbilie kulaumu watalamu kama huna ufahamu. Kwa kifupi kilimo endelevu ni muunganikano wa watalamu, wakulima na serikali. Sasa chambua hapo iyajua wapi pana tatizo
  2. Lyangalo

    Watumishi sasa kuhakikiwa majina

    Hebu toa ufafanuzi mkuu! Kwani walipokuwa wanahakiki vyeti walikuwa hawaangalii majina. It should be a joke.
  3. Lyangalo

    Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    Wewe ni wa Prof. Lipumba, huyu alikataa kuwa mpambanaji wakati anahitajika vilivyo. Akaona afadhali ajiuzuru. Huyu hafai hata kuwa baba atakimbia familia wakati wa dhiki.
  4. Lyangalo

    Tundu Lissu: Maswali yangu kwa Jaji Mtungi, wa vyama vya siasa

    Ni maswali mazuri sana ambayo msajili inampasa kuyajibu. Ni matumaini yangu atakuja na vifungu vya ccm kujibu.
  5. Lyangalo

    "A US election is a global election" - Francois Hollande

    Hahahahaha. US baby has said it all!
  6. Lyangalo

    Usipodai risiti jela miaka mitatu au faini ya shilingi milioni 3

    Mmmmmh. Kazi tinayo. Inabidi wafanye upanuzi wa magereza. Maana nina uhakika sheria ya mtandao pamoja na hii mpya inayokuja zitatupeleka huko. Kwa mawazo yangu wangehanhaika na wafanyabiashara na si waninuzi.
  7. Lyangalo

    Rais Magufuli tembelea barabara ya Veta-Keko

    Bado Ni waziri WA ujenzi.
  8. Lyangalo

    Swali na Jibu: Kwanini Wanamnyemelea Magufuli?

    Kwanini asifanikiwe? Katiba inampa madaraka hayo. Hakuna aliye juu yake zaidi ya Mungu tu. Hivyo hatakiwi kutishwa. Akiogopa basi ayakuwa amependa. Na maombi yetu yatamhukumu.
  9. Lyangalo

    Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Kuna visivyotumbulowa Tz, otherwise tungekuwa mbali sana. Si mnakumbaka mtuma message kuwa mita zifunguliwe? Mtumiwa alitumbuliwa, mtumaji anapeta.
  10. Lyangalo

    Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Tanzania ilishaliwa vya kutosha. Inaonekana garama ya kujenga daraja la kigamboni ni mara kumi zaidi ya lile la china. Hata kama utaweka kugaramia usafiri wa vifaa hatumezi kufikia hicho kiasi cha nssf. angalizo, yawexzekana daraja la kigamboni ni pana mara nne zaidi ya china! Yericko toa...
  11. Lyangalo

    Mwandishi wa habari wa DW aliyetekwa apatikana

    Alikataa kuhongeka nini? Maana taarifa zinazotakiwa kutoka zenj lazima ziwe zinasifu tu.
  12. Lyangalo

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Naangalia uchaguzi huu kwa jicho la tatu. Utaonyesha kiasi halisi cha kura ambazo ccm huwa wanapata. Hii itasaidia kujua kura za cuf.
  13. Lyangalo

    Maalim Seif aivuruga CUF. Wagombea Uwakilishi, Udiwani waanza kugawanyika

    Hiki ni kipwperushi au gazeti? Jina zuri lakini hovyo.
  14. Lyangalo

    Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

    I wish wafungwa wote wangekuwa wanapata the same treatment. Halafu ndo sasa hivi tunalagaiwa na mahakama ya mafisadi! Watapewa fast track kama hawa. Vifungo virefu vya gerezani si kwa mafisadi bali malofa.
  15. Lyangalo

    Rais Magufuli atembelea Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili, Amjulia hali Mufti Mkuu Tanzania

    Naona nae leo kacheka kama JK. Sasa ndo wakati wa kurudi kwenye drawing board.
  16. Lyangalo

    Lionel Messi agundulika kuwa na tatizo la Figo

    Weka source ya taarifa yako
  17. Lyangalo

    DR. Jakaya Kikwete, next UN Sec General?

    Mmmh. Mama tz ilimshinda ataweza UN? Alishawahi kutishwa hadi akaikana rasimu ya lMzee Warioba. He akitishwa na wamarekani itakuwaje?
Back
Top Bottom