Search results

  1. M

    Mgogoro wa Israel na Palestina kumalizwa na Papa Fransis, Amani kurejea sasa

    hakuna mpaka Yesu Arudi na wengi wanatimiza unabii Kuwa na nguvu ya ushawishi .biblia inasema roho ya mpinga kristo atakuwa na nguvu kubwa ya upatanisho lakini mwishoni moto utawaka na mataifa yote yataungana kumtwanga Israel hiyo ndiyo vita vya hamagodon mwanaume waliyesema harudi...
  2. M

    Tanzania parades new Chinese kit

    drinking force kifo mchezo!!"""
  3. M

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Malawi atengua Amri ya Rais Banda ya kufuta Matokeo ya Urais

    huyo mutharika anataka ziwa lore name amesema hana mazungumzo na yeyote kwani ni Mali ya Malawi
  4. M

    20,000/- Taslimu, Zawadi kwa Mnajimu yeyote atakaye nipa Suluhisho la hii Ndoto.

    Mambo ya rohoni haya patikana mbele za Mungu, tii anachokuambia ndipo baadae upendo juu yake utaongezeka, kwa sasa unapata ugumu ni kwa sababu bado hujakubali wito.
  5. M

    Tumechoka!!!

    Ee Mungu wa Tanzania ninakuomba uzichukue roho za mafisadi wote wa tanzania Usiku huu ambao wanalididimiza taifa hili, hakuna tumaini tena!. AMEN.
  6. M

    Rais Kikwete linda wananchi, mnyarwanda anadhalilisha wananchi wako kiasi hiki

    Ee Mungu wa Tanzania ninakuomba uzichukue roho za mafisadi wote wa tanzania Usiku huu ambao wanalididimiza taifa hili, hakuna tumaini tena!. AMEN.
  7. M

    Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

    Ivi kumbe wanaweka kete kwenye sewage?? Mh wadau nisaidien mbona ni hatari sana!
  8. M

    Nmefaham Kumbe Yanga hawakwenda Kujifua Uturuki!

    Kidonda hupona lakini katu yako makovu yasiyofutika kwa wanajangwani hasa kipigo cha tano bila marat tatu moja, richa ya kuwa na timu nzuri na kiu ya kurudisha kipigo cha mbwa mwizi tena koko!! Ambaye richa ya matunzo ya jangwani na kupewa kila kitu anatoa mauzi tu kwa mashabiki, karibu nchumba...
  9. M

    Nmefaham Kumbe Yanga hawakwenda Kujifua Uturuki!

    kwa maswali haya ni wazi kwamba yanga imekutana na Vilaza wenzao, wa daraja la chini, so tusiwalaumu kwani wanahitaji faraja ingawa ni ujinga mtoto wa darasa la saba kukimbia mtihani wa mwisho kisa alishndwa mock exam! So kujifariji anakwenda kufanya mtihani wa na watoto wa darasa lapili ili...
  10. M

    Wanaume Wawili Mashoga Wapata vyeo Vikubwa Serekalini

    mbona mashehe wanakula tigo jomba angu!!! Mbona wanaoa na kuolewa na majini wanawaingilia sehemu zote!! Au umesahau kamuulize shehe atakuambia majini wema na wabaya!! Ukiinama utasikia hakuna mpemba huku!! Au nchi za kiarabu ni dhahiri ni watumiaji wa tigo wazuri' japo ni kimyakimya!!!
  11. M

    Rasmi - Yanga yachomoa kombe la Mapinduzi!!

    Ila yanga mmetuaibisha kweli penye miti mingi hapana wajenzi, mpaka kocha analalamika wachezaji wanajiona mastaa halafu nothng wanafanya!! Ustaa unakuja baada ya kuwajibika!! Tubadilike, SIMBA HAWA HAWA WATAENDELEA KUTUPA KICHAPO CHA MBWA MWIZI MPAKA TUKOME!!!
  12. M

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Inshort hiyo ni siku aliyozaliwa mfalme wa hapo zaman na watu wake walikuwa wakiisherekea, lakn baada ya kukutana na Mfalme wa wafalme, akaagiza badala ya watu siku hyo kumsherekea basi imewapasa kumsherekea YESU, ndivyo ilivyo hata wachungaji wanalijua hili sana. Nipm kama utahitaji maelezo zaid,
  13. M

    Mzee wa upako ndani ya mkasi EATV

    Mzee wa upako ameonesha ukomavu wa hali ya juu mno. Inshort hakuna mahali amechemka.
  14. M

    Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

    sure!!! Uchungu wa mume
  15. M

    Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

    bila shaka unamatatizo wewe tena makubwa sana ya kifikra, wewe ni ZUZU A.K.A BORATWENDE
  16. M

    Wana Jf Nisaidieni Kumaliza Huu Ubishi

    Hata za uwizi zinashindanishwa? Kwa uwizi wizi ni no one! Kwa uwizi mi ckatai mana kutunga najua hajui, ilo ucje kujilaghai , ukiongeza kidogo utachomwa moto! Ni bora ucheze ndombolo ndombolo!!!! Uwizi uache.
Back
Top Bottom