Tanzania tukubali tu kwamba tuna tatizo la workforce. Wasomi wetu ni wa madesa. Ku copy na ku paste. Na wanataka sweet without sweating.
Wengi uwezo wa ku deliver ni mdogo na katika makampuni makubwa wanakuwa wanabebwa na wachache na hivyo kazi siku zinasonga. Lakini kwa kampuni kama zetu...
Nashukuru kwa ufafanuzi wako. Kama nilivyosema kwenye post yangu ni makubaliano tu. Anaweza akaajiriwa, au akawa patner, au nikamtafutia wateja kupitia kampuni yangu yoote yanawezekana. Cha msingi ni makubaliano na kufanya kazi.
Nimefungua ofisi yangu ndogo mtaani. Lengo langu ni kutoa huduma za kuwezesha biashara (Business supporting services). Mimi ni mshauri wa IT (IT consultant) lakini pia kutokana na uzoefu najua mambo kadha wa kadhaa ya biashara.
Natafuta watu wa kufanya nao kazi wa taaluma zote. lakini kwa...
Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.
Wana Jukwaa Hongereni kwa Kazi.
Ningependa kujua unapoanzisha kampuni ni wakati gani unahitaji kuacha unallocated shares. Faida yake nini na hasara zake ni zipi.Kazi njema
Nyumba inauzwa. Iko Bunju, Block No. 20, Plot No. 50. Kiwanja kimepimwa na kina hati, kiko kwenye Eneo la Mradi wa viwanja 20,000. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1444 (Low Density)
Nyumba haijaisha kama inavyoonekana kwenye picha. Ina vyumba vitatu vya kulala, ambapo kimoja ni master, sebule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.