Search results

  1. John mungo

    Waalamu wa taa zamagari naombeni msaada terch tafadhali

    Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za magari,sasa nimekutana na changamoto ya ile chrome ndani ya taa imekufa kabisa kiasi cha kufanya taa isiwe na...
  2. John mungo

    MSAADA WA KUANZISHA WEBSITE

    Habari zenu wandugu,Mimi sijui chochote kuhusu maswala ya website Ila nina wazo la miaka mingi la kuendesha web ya kibiashara kama vile ya kukutanisha wauzaji Na wanunuzi mtandaoni ,(mfano mzuri kama hii website ya KUPATANA.COM).Hivyo naomba msaada WA kitaalam kufahamishwa kama nitafanikiwa kwa...
  3. John mungo

    Wataalam wa gonjwa la HIV, tujuzeni kama kuna ukweli juu ya jambo hili

    Habari za Jumapili, Kuna mtu alikuwa anamsafirisha mgonjwa ambae tayari alikua Mwathirika wa VVU. Sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu nyingi. Sasa baada ya kutoa msaada kwa majeruhi na kukimbizwa hospital sasa, kuna kijana aliumizwa na bati...
  4. John mungo

    Wataalam wa gonjwa la HIV tujuzeni kama kuna ukweli juu ya jambo hili

    Habari za Jumapili. Kuna mtu alikua ana msafirisha mgonjwa ambae tayari alikua mwathirika wa vvu, sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu nyingi.sasa baada ya kutoa msaada kwa majeruhi na kukimbizwa hospital sasa, kuna kijana ali umizwa na bati ktk...
  5. John mungo

    Mtoto mchanga aleta ujumbe na kisha afariki

    Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya rufaa mkoani hapa Morogoro ameleta hofu kwa wakaazi wa mkoa,Ni baada ya kuzaliwa na kuongea kuwa ''kuta nyesha mvua kubwa sana yenye upepo mkali sana Kati ya Jumatatu hadi Ijumaa. Hivyo kujitaadhari, kwani itasabisha madhara makubwa''. Baada ya kuongea hayo...
  6. John mungo

    Kiwanja cha 20/37mt kina hati, kinauzwa Moro

    Kama nilivyoeleza hapo juu kiwanja kipo amaeneo ya Lukobe na kina riz ya miaka 36. Hakuna dalali bei 10mil.ni pm kama unahitaji.
  7. John mungo

    Gambe ni nomaaa!

    Kuwa makini utaelewa tuu
  8. John mungo

    wa tz kwanini tuwe masikini wakati mali tunazo?.

    MZUNGU MMOJA MTAFITI ALIWAHI KUSEMA KUWA,LASIRIMALI ZA TZ NI ZAIDI YA UTAJIRI WA U S A KAMA ZITAUZWA.Ndugu zangu swali ambalo wengi sana tunaji uliza pasipo majibu na kila siku hali inakuwa ngumu.Lasirimali zetu zipo kwa ajili gani au nani anasubiliwa ?. WAHESHIMIWA NALETA MADA MEZANI TUJADILI
  9. John mungo

    Msaada kwa anaejua.....

    Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.
  10. John mungo

    Morogoro; Maduka makubwa yamefungwa ghafla

    Hapa morogoro mjini ni taflan baada maduka makubwa kufungwa.Hii imetokana na wafanya biashara kugoma kufungua kutumia mashine za kutolea risiti. Mashine hizo wamezilalamikia kuwa zinauzwa bei ghali ya sh 800,000/.pia ni mbovu sana kwani nimeweza kuongea na mfanyabiashara mmoja anakiri kuwa...
  11. John mungo

    Kama ni mgen upo moro ntafute

    Mambo vipi wa ndugu.kama upo moro na sii mkazi wa hapa ntafute nikupe kampan.Haijalishi kua mwana mke au mwanaume wote sawa wala sii kutongozana nikampan tuu!
  12. John mungo

    Kama ni mgen upo moro ntafute

    Mambo vipi wa ndugu.kama upo moro na sii mkazi wa hapa ntafute nikupe kampan.Haijalishi kua mwana mke au mwanaume wote sawa wala sii kutongozana nikampan tuu!
  13. John mungo

    Tupeni pole watu wa morogoro.

    Kwa kweli ni majanga yame zikumba familia zetu pande za dumila kwa mafuriko yaliyopo hapa dumila kwakweli inasikitisha sana kwani ni mamia ya familia hazina makazi sababu ya maji.Kibaya zaidi wengi wamepoteza mali zao walizo chuma kwa miaka mingi. MUNGU IBARIKI MOROGORO.
  14. John mungo

    Morogoro mpotayariiii?

    Wandugu zangu wa jf kamani mkazi wa moro na unapenda kufahamiana zaidi jitambulishe hapa .
  15. John mungo

    Ni yupi rais atakae tawala 2015.

    Jamanie tujaribu kubashiri kwenye urais wa 2015.Kuwa kiongozi gani atakuwa rais 2015. unae mpenda mtaje . Kiroho safi.
  16. John mungo

    Nafasi ya kazi ya ufundi umeme na bomba mwenye vyeti soma hapa.

    Kuna nafasi ipo hapa mkoani moro ni ktk hotel ya kitalii .sasa kama una uwezo wa fani hizo mbili au hata uwe na fani yabomba tuu.tuwasiliane kwa 0659969663 Ni haraka sana anahitajika mtu.
  17. John mungo

    Chonde chonde hakikisha hurudii makosa yaleyale ya kila mwaka.

    Ndugu zangu tunalia kila mwaka, kwa makali ya maisha .Hili ni kweli, ila jamani tujiongeze kwa kuto ruhusu mirija midogo midogo ya weza kuwa ya kipumbavu. Kama vile kutoa hela kwa ajili unazo kwa muda ule,eti unatoa ili usifiwe bar.ni upumbaf. Mwingine anaji tahidi apate 10000 kwa siku alaf...
  18. John mungo

    Toa tofauti ya zombi na vampire

    Waungwana mi napenda kujua jambo kati ya zombi na vampire.
  19. John mungo

    Tupia kosa unalojutia kulifanya 2014

    Tuanze mwaka mpya kwa kutodiriki kurudia makosa yale yale tulio fanya mwaka jana. Kwa mfano mimi nilitapeliwa hela tsh 500000 kwasababu tu ya kumwamini mtu. Je wewe? Tupia kilicho kusibu il turekebishane.
  20. John mungo

    Majanga ya liojiri hapa morogoro mkesha wa mwaka mpya.

    Boda boda ziligongana mbili na madereva wote wamefariki maeneo ya msamvu. Mwizi alie iba bodaboda,amekamatwa akiwa ktk harakati kukokota pikipiki alio ikwapua.Jamaa kwa hasira wame mwua mwizi huyo kwa kumgawanyisha katikati upande kushoto upande kulia. mjini na mitaan ni milio ya baruti na...
Back
Top Bottom