Search results

  1. chollemadulu

    Nawezaje kurudisha namba za simu nilizowahi kuwasiliana nazo?

    Salama wana JF weekend iwe nzuri kwenu mimi naitaji kujui njia gani ninaweza kutumia ili nipate zile namba ambazo nilikuaga nawasiliana nazo zamani mwenye kujua jamani anisaidie maana kunamawasiliano nimepoteza sasa labda naweza kuyapata kwa sitaili hiyo ni, hayo tu.
  2. chollemadulu

    Maisha ya kunguru

    Kuna msemo hapa dunia kuwa eti kunguru anaishi miaka mia tatu. Je, ni kweli kunguru anaishi miaka mia tatu?
  3. chollemadulu

    Natafuta gari aina ya noah

    Salama wadau mimi ninatafuta gari aina ya noah liteace yenye hali nzuri mwenye nayo tuzungumze 0767580119
  4. chollemadulu

    Shinyanga hatuna umeme siku ya sita leo, Meneja TANESCO upo wapi?

    Sisi wananchi kishapu kata ya maganzo hatuna umeme leo siku sita tunalala giza meneja upo kimya kama meshindwa kutuwashia umeme kwa wakati toa taarifa sasaivi haieleweki lini mtawashia sijui mtafidia gharama zetu tunazo tumia kukunua mafuta sasa nashauli wizara husika ilione hili tatizo kubwa...
  5. chollemadulu

    Bunge litaanza lini?

    HAMJAMBO WANAJF JAMANI MWENYE KUMBUKUMBU YA TAREHE YA KUANZA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ANIJUZE TAFADHALI SANA
  6. chollemadulu

    Mkutano wa CHADEMA Shinyanga kesho

    Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani
  7. chollemadulu

    Airtel mmechoka?

    Wana jf salama mimi kama mteja wa airtel tena wa mamiaka mengi tu sasa chakushangaza hawa jamaa wameleta huduma mbalimbali ili kusaidia wateja wao na jamii kwa ujumla sasa hii huduma ya TIMIZA ilikua bosheni tuu au ilikua janja flani wametuonjesha huduma tayali imeanza kufeli sasa si muitoe ili...
  8. chollemadulu

    Angalizo,ukawa kueni macho na hili

    Ni kwajili ya wapenzi na watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii tu naanza sasa makatibu wa matawi wote wavyama vinavyo unda ukawa kueni macho na hili kesho ni siku yakujiandikisha katika vitongoji vyetu ila kuna imani imejengagwa na wana ccm kujiandikishia kwenye nyumba ya mtu tena kada wao...
  9. chollemadulu

    Vanessa Mdee

    Wana Jamiiforums habari zenu? Duh! huyu dada wa kwenye tangazo la Airtel Switch ON nampenda sana mnisaidie anaemfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani? Tafadhali sana nisaidieni wadau nitakufa na presha nampenda kama akiupata ujumbe huu popote alipo aweke anuani yake hapa JF. Ni hayo tu wadau.
  10. chollemadulu

    Uchaguzi mdogo

    Salam wana jf nakumbuka mwezi tatu mwanzoni kuna madiwa wa cdm wawili walijihudhulu nyazifa zao huko mkowani shinyanga mpaka sasaivi ninavyo ongea mnijuze huo uchaguzi mdogo ulisha fanywa? Nawasilisha
  11. chollemadulu

    Mwadui;kijana kapigwa blankoo akafa

    Salama wana jf mimi nilikua wilayani kishapu katika pitapita zangu nikakutana na masanja anaishi wishiteleja wilaya kishapu akaniambia migambo wa mwadui wampiga kijana blankoo mpaka kufa,Kwamaoni yangu selekari ifanye kazi yake sasa maana watu wanakufa sana bila sababu yoyote souce masanja
  12. chollemadulu

    Ukawa;kuiteka shinyanga loe

    Wana jf habari za mchana,mda huu shamlashamla za ukawa ndo zimeanza watu wana miminika kwenda kwenye mkutano kusikiliza sela za ukawa viwanja vya shy com by mm mwenyewe
  13. chollemadulu

    TANESCO Shinyanga kunanini, ghafla mmezima umeme?

    Hili shirika la ugavi la tanesco hasa mkoa wa shinyanga kila mala mnakatakata umeme kunatatizo gani au mnataka kutuunguzi vitu vyetu
  14. chollemadulu

    CHADEMA kushinda Chalinze

    Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
  15. chollemadulu

    Tanesco Shinyanga mnatuboa

    Salama wakuu wa jf Kinacho nisikitisha kuhusu umeme kila siku umeme unakatika hakuna taarifa yoyote inayo tolewa wao wanakata tu.
  16. chollemadulu

    Natafuta mwana mke wa kufuraishana tu

    Wana JFsalama mimi ni mwanaume nilie kamalika Natafuta msichana wa kunipa raha nitakapo muda wowote ila sio kuoana siitaji kuoa naitaji mapenzi yakawaida tu, Nikimuitaji anitimizie haja yangu basi nawasilisha...
Back
Top Bottom