Search results

  1. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Scholz said he plans to talk to Putin in the near future.
  2. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The Ka-50 and its two-seat version Ka-52 are high-performance combat helicopters with day and night capability, high survivability and fire power, to defeat air targets and heavily armoured tanks armed with air defence weapons. It was designed to be small, fast and agile to improve survivability...
  3. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Cauldron in Bakhumt tayari. Jamaa washawekwa kwenye chungu sasa ni kupikwa tuu. Wataruka ruka mpaka waive lakini hawawezi kutoka tena
  4. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nadhani Nazi head walioshauri kulipua daraja la Crimea wanajuta kufanya vile. Hii retaliation from Putin imekuwa ya moto mnooo
  5. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ni sheedah! Military Cauldron ni mbaya yaani mnakuwa mmewekwa kama kwenye lichungu la kuchemshia kande yaaani mtaruka huko huko mpaka mnaiva hakuna kutoka
  6. P

    AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Shida kwa vijana wengi ipo hapa.Na mkuu Mtangoo alishaweka hili sawa sawa.Technologia na coding ni nyenzo tuu za kukusaidia kufanya kazi.Ili upate hela unatakiwa uwe MBUNIFU kwenye kutoa suluhisho la matatizo mengi yanayoizunguka jamii kwa kutumia hizo skills utakazozipata. Na matatizo yako...
  7. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi yule sniper wa Canada aliishia wapi au nayeye yuko huko mapangoni Azovstal kama nguchiro wengine?
  8. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unajua hawa jamaa wa Azov ni waajabu sana. Sasa kusurender umekataa na kupigana hupigani unakaa kwenye mapango tuu kama Nguchiro. Russia hana muda wa kupoteza unafukuliwa tuu na themobarick bomb watu wanaendelea na special operation
  9. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuushikilia mji wakiwa mapangoni? Acha mzaha wewe
  10. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Neni ni moja tuu NYET.Kama mnataka humanitarian corridor hiyo corridor lazima ielekee Urusi na sio sehemu nyingine yoyote
  11. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapa ndio unaonyesha upumbavu wako dhahiri.Kama Russia hana akili hizo silaha nyingi amezipataje?
  12. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Dont ever get brainwashed with west media na watu wao. Vikwazo vinatangazwa kwa ajili ya publicity lakini watu wanafanya biashara kama kawaida in closed door. Kama vikwazo kweli ni issue Iran,Korea,Cuba na hapo jirani zako tuu Somalia jiulize mbona wanadunda tuu na Serikali zao zinalipa...
  13. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Malengo ya Russia ni haya Russia launched a special military operation in Ukraine on 24 February in response to calls from the Donetsk and Lugansk people's republics for protection against intensifying attacks by Ukrainian troops. The Russian Defence Ministry said the special operation, which...
  14. P

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ila hili lakuleta Jihadist Ulaya lazima watamkumbuka Putin maisha yao yote:D:D😁😁
  15. P

    Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

    Tatizo kubwa kabisa ni uwaminifu wetu wabongo.mtu asipoweka masharti makali hiyo hela hairudi.yaani urushi uko kwenye damu
  16. P

    Car4Sale Nissan Murano Inauzwa

    Hii bei ni rahisi sana kwa gari hii.Muuzaji weka wazi ina matatizo gani? Au umeeiba?
Back
Top Bottom