Search results

  1. Stralis

    Aisee lita 980,700?

    hapa tatizo hujui semi trailer ni nin pia acha uongo hizo gari unasemea ni pulling kwenye ujenz wa hiyo road hazikuwahi beba lita ulizotaja Tz hakuna gari ya kubeba zaidi ya lita elf 42 kwa ekseli 7.halafu mafuta tani 10 ni sawa na lita kama elf 8-12.
  2. Stralis

    Aisee lita 980,700?

    mtoa thread kaandika eti 970,000 ila ni lita 97,000.hizo lori zenu zinazopata tabu kupanda milima ni mbovu
  3. Stralis

    Aisee lita 980,700?

    hilo dege full tank linakula lita 240,000 sawa na semi 6 zenye kubeba lita 40,000.
  4. Stralis

    Naomba mnisaidie tofauti ya maisha ya Rwanda na Tanzania

    wako smart sana watu wale mbongo huwez ishi
  5. Stralis

    Naomba mnisaidie tofauti ya maisha ya Rwanda na Tanzania

    wako smart sana watu wale mbongo huwez ishi
  6. Stralis

    Je, ni kwanini malori yanafurika Zambia highway ilihali TAZARA cape gauge railway ipo?

    Nani alikuambia malori yanaharibu barabara unajua kazi ya Mizani.??? halafu Tz ndio inaongoza kua na mizani nying still barabara mbovu huoni kua Ziko chini ya kiwango.???? bila lori hakuna maisha hapa duniani naona umeongea nonsense.
  7. Stralis

    Je, ni kwanini malori yanafurika Zambia highway ilihali TAZARA cape gauge railway ipo?

    Wanajua kwanini Tazara haifanyi kazi.hii SGR n mtaji wa kiasiasa 2020
  8. Stralis

    Je, ni kwanini malori yanafurika Zambia highway ilihali TAZARA cape gauge railway ipo?

    Reli hii wanajenga ila inahitaji siasa safi ili ifanye kazi kwa ufanisi Tazara wameua hawa hawa wanasiasa wa Tanzania na zambia wengi wao wanamiliki haya malori na wengine wanasaidia na matajiri wa lori kuingia kwenye siasa,Hawa wanaosema SGR itafanya kazi kwa ufanisi ndio hawa hawa walioua...
  9. Stralis

    Hawa Ndiyo Watu Wanaomfanya Bill Gates Aonekane Maskini

    Manuel Dos santos alipewa tuzo kwa sababu ku initiate mazungumzo na waasi wa FARC na waasi kutua silaha chini na kukubali kutoka msituni na Kuiweka Colombia Amani nchi nzima hawa jamaa FARC wamepgana na nchi ya colombia toka miaka ya 60 wakidai iongozwe kijamaa lakin Manuel juz juz ndio...
  10. Stralis

    Usilolijua juu ya bomu ya Hiroshima inatisha

    Na hizo Kemikali kama Uranium zilizotumika kutengenezea hayo mabomu zilitoka Jimbo la Katanga Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
  11. Stralis

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Wakati mko Jf hapa mnabishana sijui wahutu/watusi lakini naona kabisa Rwanda inatambaa na chaki kuelekea nchi yenye maendeleo makubwa sana kwa Africa mashariki,nyinyi wabongo endeleeni kusubiri pesa za makinikia na kumsifia bwana Yule pale magogoni,Bongo kutoboa ni ngumu sana kwa ubishi huu wa...
  12. Stralis

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Unataka kuzamia wap
  13. Stralis

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Kwanza ubungo hayawez kaa mabasi 500-1000 kama ulivoandika mule basi nyingii saaana labda 80.
  14. Stralis

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    We kaa Tz uuze karanga unaanza kuniuliza mimi tena masuala ya kupata passport [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] rudi kalime.
  15. Stralis

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Sasa huna passport kumbe hata muda huu ningesema twende Ni kazi bure
  16. Stralis

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    South africa sio kama kwenda gairo Jipange uwe na mwenyeji kule otherwise utaishia tunduma hapo na maisha ya kule sio kama kunywa uji.
  17. Stralis

    Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

    Kwanza hakuna Basi za Euro 4 pale DART ni Euro 2 zile tech ya miaka ya 1990 ulaya.kwenye malori bongo ndio wamefika kwenye euro 5 nayo yanawasumbua kuyatengeneza sabab teknolojia iko juu kupita uwezo wao.
  18. Stralis

    Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Tukianza kwanza una passport pili pesa naweza sema Milion unayo.???
Back
Top Bottom