Search results

  1. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hongereni kwa majukumu wanajamvi!!, MWALIMU IDARA YA MSINGI NIPO MKOA WA TABORA, WILAYA YA KALIUA. NAHITAJI KWENDA IRINGA WILAYA YOYOTE. KITUO CHA KAZI NILIPO, KIPO CENTRE KABISA HUSUSANI USAFIRI WA MIKOANI. MFANO; MIKOA KAMA KIGOMA,(NAULI SH.12000/=) SHINYANGA(SH.12000/=)...
  2. B

    Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi.

    mwalimu idara ya msingi aliyeko mkoa wa Iringa aje mkoa wa Tabora, Kigoma, Shinyanga, Singida, mwanza. Na mhusika aende mkoa wa Iringa wilaya yoyote. mawasiliano ni PM(Private message), au email kinwikobadiani@gmail.com au piga namba 0763930623
  3. B

    For JamiiForums Mobile users

    []najaribu tu[]
  4. B

    For JamiiForums Mobile users

    [][]najaribu tu[][]
  5. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    walimu kutoka tabora turudi kwetu usinge tukale samaki, maziwa, asali,
  6. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    KWA MWALIMU IDARA YA MSINGI, ALIYEKO MIKOA YA IRINGA, NJOMBE NA MBEYA NA ANAPENDA KUJA TABORA, UJE TARAFA YA KALIUA, KATA YA USINGE MIMI NIJE HAPO ULIPO KATI YA MIKOA HIYO. NB: kituo kipo sehemu nzuri ,usafiri kwenda mikoani upo hapa hata baiskel huhitaji chukua beg ingia kwenye gari...
  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO TABORA, WILAYA YA KALIUA, KATA YA USINGE, MIMI NIENDE IRINGA/NJOMBE/MBEYA. IDARA YA MSINGI. na shule ipo centre kabisaa! mawasiliano ni PM au piga 0763930623
  8. B

    Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    HALO RAFIKI UTATUZI WATATIZO LAKO UPO HAPA GUSA_HAPA_UONE_MAJIBU_KAMILI_NA_YA_UHAKIKA
  9. B

    Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    ushauri wangu kwako mleta thread uchumba ni hatua ya tatu katika kujenga ndoa, ambapo unapitia hatua ya kwanza ya urafiki wa kawaida, 2.urafiki maalumu 3. Uchumba 4.harusi/ndoa yenyewe. Sasa katika kila hatua kuna mambo ya kufanya sio kwamba leo nmempenda msichana fulani...
  10. B

Back
Top Bottom