Search results

  1. Tripo9

    FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

    nimepata live link....bando lako Tu enjoy https://www.youtube.com/live/SCQAYND4tN8?si=OnTciSe2uQqKdan4
  2. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    Roho ya korosho, roho ya kitu, roho ya kwani....kama huviwezi baasi kila mtu haviweziii?
  3. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    You too low bro. Mimi sifukui mitaro maana inaonekana hayo ndio mambo unapenda kufanywa mpk unayataja. Mi sio mchafu na wala sitaki tope dogo kaoge. sawa?! On to the next.
  4. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    Wewe ni masikini WA kutupwa wala hujawahi kutoka nje ya buza kwa mjomba ako. Huna unalolijua kaa kimya watu wapange mipango Yao. We muulize mkaza mjomba ako kesho asubh mnakunywa chai na muhogo au magimbi ili ujue kabisa. Mambo ya safari unajua wapi wewe tena US. Nitumie number yako ya...
  5. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    mwanangu hapa umeniweza. Number moja bila kupepesa macho naitimbia hiyo saaaafi kabisa.
  6. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    Wonderful post this my Nigger. You gotta be book writer if not that talent is gone lost bro. Thanks for your advise. Will comply!
  7. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    Sasa kwa kua hujui kitu wewe ndio boya. Kojoa ukalale shemeji asikukute macho
  8. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    mkuu samahani hii ya 150k sio expensive hii? maana hapo tuseme ni dollar 70 flani hivi. Ugumu WA Airbnb uko wapi kupata host?
  9. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    we jamaa wale utafkiri unaenda mbinguni. Mimi mpk passport inarudi ilichukua miezi miwili
  10. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    I know mkuu. na sio kwamba sija Google hapa na pale. Sema nataka desa practical km kuna mshikaji kafanya nami nipitie humo humo. But majibu practical yakikosekana mbn chimbo mtu unaingia na kupata. Mfano ukiangalia hii post huyu dada FaizaFoxy I think ametoa vitu flani nlikua sivijui. So in...
  11. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    mkuu Nia hangu hasa nipate uzoefu Kwa ambaye amashafanya km nilivyouliza. Yaani nipate desa practical kabisa. Unajua ni hulka ya kiubinadam km akitokea mtu akakuambia ABC alizofanya then ukafanya unakua na utuliv wa Moyo. Sio kwamba Ku google siwez la hasha. Nahitaji alichofanya mwenzangu nami...
  12. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    Mimi sio verified member. By the way ntakushangaza kuhusu ticket we Acha Tu maana itaonekana uongo mwingine...maana wabongo wame kremu vitu.
  13. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    siwezijua mambo ya kanisani. Usilazimishe kila mtu awe mtu WA kanisani. By the way that's not my case. Maana unaonekana Una elements za udini udini Sana.
Back
Top Bottom