UMATI mkubwa wa wafuasi wa Chadema upande wa Mhe Zitto Kabwe wakiwa wamembeba juu mara baada ya mahakama kuu kutoa uamuzi kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.
SOURCE:EaTV
Dar es Salaam.Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.
Hatua hiyo ya Mkono imekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu kumtuhumu kuwa aliwahi kumpa...
Shukran prof.Ngoja tuipitie
Mi pia nshaipata,cheki link hii:
RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013 ILIYOTOLEWA TAREHE 30 DISEMBA 2013
Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina ameuawa na wananchi wenye hasira baada ya kuzuka mgogoro wa ardhi baina yao. Mabina aliuawa katika Kata ya Kisesa, baada ya wananchi wenye hasira kumtuhumu kumuua kwa kumpiga risasi mmoja...
Huyu mh anafikiria nini hadi kusema kuwa serikali isitishe kuajiri watumishi!
Napata wasiwasi mkubwa na utendaji wa hawa watu kwani inaonyesha hawaijui hali halisi ya watz hasa maeneo ya vijijini.Kijana anasoma kwa taabu ili angalau apate ajira tena hata ikiwa mshahara ni kidogo mithili ya posho...
Shukrani kwa taarifa.Naona wananchi wameanza kuelewa na natumai mabadiliko yapo karibu.
Vuguvugu la mabadiliko si rahisi kulizuia hasa kwa nguvu ya dola kwani ni jambo ambalo halina budi lazima litokee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.