Search results

  1. M

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Nilidhani wewe ni mwalimu lkn kwa maelexo yako unaonyesha hujui chochote kuhusu taaluma ya ualimu. Mh. Rais mwenyewe kadhtukia makato hao, sasa anayebisha ninani hasa.
  2. M

    Msaada wa Sheria inayohusiana na SERVICE LEVY.

    Ikumbukwe pia kabla ya marekebisho ya mwaka 2012, sheria ilitaka halimshauri itatoza ushuru huu km chanzo cha mapato kutoka kwenye makampuni tu lakini ikipofika mwaka 2012 sheria ikifanyia marekebisho na kuzitaka kampuni au mtu yoyote mwenye leseni ya biashara kulipa ushuru huu na kama kampni au...
  3. M

    Msaada wa Sheria inayohusiana na SERVICE LEVY.

    Maana ya Service Levy ni ushuru wa huduma ambao ulianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Fedha za serikali za mitaa, sheria ya mwaka 1982 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2012.serce levy ilianzishwa kama chanzo cha mapato kwa halmashauri
  4. M

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Pia lazima ukumbuke kuwa baada ya hapo utatakiwa kutafuta chama kingine unachota kujiunga na kisha kumtaarifu mwajili kuwa kuanzia tarehe fulani akate michango ya trade unioni na aipeleke kwenye trade union ambayo umejiunga. NB: kushindwa kutaja trade union mpya uliyojiunga mwajilo analazima...
  5. M

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Unatakiwa kuandika barua(notice) ya siku 30 kwa mwajii wako kumjulisha kuwa asitishe kukukata michango ya trade unioni kuanzia tarehe fulani ambayo utaitaja, nakala ta barua hiyo utaipeleka kwa cwt, hapo itakuwa ndy mwisho wa kukatwa
  6. M

    Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

    Anayesambaza ujumbe huu anadhani anamdhalilisha mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumbe anasaidia ujumbe ufike kwa wananchi bila gharama yoyote. Tangazo hilo ni halali kwa mujibu sheria ndogo za Manispaa ya Temeke za Mwaka 2018. Acheni kushabikia kitu msichokijua, fanya utafiti kabla ya kutoa...
  7. M

    Kufanya mapenzi na mama wa kambo kunapunguza mateso yasiendelee?

    Wanaojua mila na desturi za kabila la wanyakyusa hilo nijambo la kawaida
  8. M

    sheria ya hukumu ya watoto

    Sheria inaangalia wakati huyo mtoto anatenda kosa alikuwa ana umri gani. Tafuta maamuzi ya kesi ndogo ya LULU
  9. M

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    Kunapotokea umwagaji damu ya watu wasio na hatia, hipaswi hata kidogo kujinasibu kuwa mmshinda kwasababu damu hiyo itakiangamiza taifa
  10. M

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    CDM kuweni makini na huyu mzee, nadhsni hapaswi kushirikishwa maamuzi yyt ndani ya chama, in short huyu ni shushushu
  11. M

    TAKUKURU yamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mkoba

    Mimi na wewe nani mpumbavu. Labda siyo mwslimu. Sisi walimu tunajua namna tunavyoumia na CWT
  12. M

    TAKUKURU kwanini mmeacha chama cha walimu(cwt),kiwanyonye walimu wetu?

    Pole na kazi ndugu Mkurugenzi wa TAKUKURU. Nina kila sababu ya kukupongeza namna unavyoshughlkia watoa na wapokea rushwa nchini. Hotuba ya Mh. Rais wa Jamhuri wa Muungano Tz aliongea kwa uchungu sana siku akifungua mkutano wa CWT Dodoma juu ya namna CWT inavyoongozwa akahoji uhalali na faida ya...
  13. M

    TAKUKURU yamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mkoba

    Mkurugenzi kama anafuatia uzi hakika natoa shukrani zangu za dhati kwake. Hotuba ya Mh. Rais ilionyesha wazi hafurahishwi na namna CWT inavyoendeshwa hasa katika matumizi ya fedha. Ifike hatua sasa Rais Magufuli asiendelee kuimumia hali wahusika wapo. Wito naomba pamoja na hoja hiyo ya rushwa...
  14. M

    ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    hakuna kilichoibiwa, bali ubovu wa sheria zetu tu
  15. M

    ACT-Wazalendo yafafanua kuhusu uteuzi wa RC Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira

    Hapo jibu lipo wazi, kama Rais alisema hatateua waoinzani katika seeikali yake, nidhahili kuwa walioteuliwa wote ni wanachama wa ccm regardlesa wamesajiliwa chama cha upinzani. kinachoangaliwa hapo ni dhamira. ila kwa upande mwengine watanzania tuache uongo na unafiki, Rais anateua watu anaoona...
  16. M

    Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Ukiisilikiza sauti ya kiume hapana shaka kuwa sauti ile ni Steve mwigizaji wa sauti za watu. kwa hiyo huu niuongo uliokithiri. inasikitisha sana kama watu wamefikia hatua hiyo yakudhalilishana. sina utaalamu wakuchubguza sauti lakinisauti hii wala huuitaji utalaamu wa kusomea
Back
Top Bottom