Search results

  1. K

    Natafuta pikipiki

    Jamani wana jamvi naomba kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata pikipiki kwa bei isiyozidi laki nane ( 800,000) hapo dar. Sanlag cc125 hadi cc150, Cargo type.Hapo Dar taarifa zenu zitanisaidia sana. Hata Zanzibar siyo mbaya ilimradi nikijumlisha gharama zote za kuileta bei isiwe kubwa...
  2. K

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Kwa mtu yeyote mwenye kukifahamu vizuri hiki chombo kinachojishugulisha na biashara ya pesa wao wasema kupanda na kuvuna atuhabarishe. Kila kona ya Dar na baadhi ya Mikoa hapa nyumbani TZ DECI wanakusanya pesa na kurudisha kwa faida kubwa. Tunaomba kuwafahamu vizuri ili tukiamua kujiunga nao...
Back
Top Bottom