So kama ma great thinker wa Rorya ndo aina ya Gor wanaotaka kuleta maendeleo huu wanaonyesha ubaguzi upo ndani ya damu. believe me hamtokuja mpate maendeleo. Rorya ni ya makabila mengi siyo Luo pekee yenu. plz tafuteni mtu makini na mwadilifu na mwenye misimamo then mkae pamoja mjadili wapi...
Ndiyo maana Rorya siasa zisizo na kichwa wala miguu haziishi. badala ya kutumia pesa za Lakairo kuhandaa miundombinu ya miradi ya kudumu kwa kumpa ushauri nyie mnaomba 2000 za kunywea chai kwenye vitongoji vilivyotamalaki kwa umasikni.
Na mnajisahau kuwa Rorya kuna mchanganyiko wa makabila kibao.
Ni kweli Luo wanapatikana kenya, uganda, tz sudan na nk. but hebu pubguzeni ukabila kwa msingi wa kubaguana. Najua Luo wanathamini sana mila na desturi zao but punguzeni kubaguana hata wenyewe kwa wenyewe.
Faiza ebu jaribu kuwa neutral kidogo. kuchangia maendeleo siyo jambo baya hata kidgo.
Jaribu kuelewa wakati mwingine, siyo wote wanaishi mjini wengine wanaishi vijijini, michango ya harusi huwa ni ndoto kwao.
Serekali inataka watu wachangie ujenzi wa maabara wakati serekali yenyewe imeshindwa...
Duuu, kazi tunayo coz tanzania yetu maajabu hayaishi. propaganda imechukua nafasi kwenye maisha yetu kwa % kubwa, ndiyo maana hata zinapoletwa hija za maana huwa atunaogopa. matukio yanatokea makubwa na yanayodidimiza uchumi wetu. Hawa atu leo tunaoaminishwa kuwa ni watu safi huwa wanakuwa wapi...
Jamani Okelo twashukuru unatuletea mambo mengi sana ya Lowasa. Plz ebu tujuze ya kweli kabisa kuhusu lowasa na richmond. Ili nasi tuangalie pande zote za shilingi. inawezekana ilikuwa propaganda au kweli.
Huu ni mnyukano sijui itatufikisha wapi. huko tuendako nchi yetu itazidi kusambaratika.
We need maridhiano zaidi kuliko ubabe na mwisho wote tutapoteza.
Ooooh my Tanzania amani yetu ipo ICU na madaktari wakuweza kukuhudumia wamegoma
huku wakilumbana na kuonyeshana ufahari wa nani atakula paja...
Hi, Dine hongera sana kwa ujasiri wako. I know wengine watakubeza, na wengine watakusupport. I understand Dr Riwa anaongea kotokea angle ipi
ndo maana wengi wetu hatumwelewi vizuri, but alitaka ujenge kujiamini zaidi na waweza kuolewa hata na mtu asiye na vvu ili mradi tu awe na dhamira ya...
1-Soko la dhahbu siyo tatizo, but tatizo ni bei ukizingatia kwasasa bei ilivyo chini.
2- Bei hutofautiana, na inategemea unamuuzia nani na wapi, Taita/Broker/Wahindi/Sonara ama unasafirisha nje.
3- Vile vile bei hutegemea kiwango cha dhahabu kwa asilimia.
Pole sana Mwaya!!
1. Angalia aina ya lishe unayompa Jamaa b4 game
2.Maumbile ya ko nayo yaweza kuwa tatizo, Pengine K yako kubwa sana na isitoshe unamwanikia yote
-kama K ni kubwa na imelegea sana jitahidi kukanda kwa barafu b4 game ili walau isitepete.
3. Badilisha mazingira ya kuchezea...
Aksante sana mleta hoja.
Dhamira ya dhati pamoja na kusimamia na kutekeleza dhamira yenyewe ndiyo msingi wa mabaliko.
Vijana wa Mara wanaweza kuleta mabadiliko sana kama wakiamua.
Jambo la kwanza la kuanzia ni kuachana na mambo ya ukabila na ushabiki wake then wafocus kwenye vitu vya maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.