MAT - by the way, I always wondered, hiyo user name yako na picha. I was just curious to know if you support Jubilee and if you like Kikuyus. If so and if you are a man, then here is a wink from a girl ;)
so niambie basi, ni wakikuyu watupenda na jubilee waipenda pia?
Geza - natumai bandari ya bagamoyo itakuwa kubwa kuliko ya mtwara sio?
Halafu, pengine zile bandari anasema watazipiga marufuku, wanaweza hata kuzifanya za utalii kama vile small cruise ships can dock there and tour the local areas. Nadhani hiyo pia itasaidia kwa mapato ya wakazi wa pale.
All...
KWANZA - mimi sio mzee, mm ni msichana :)
PILI - sio mm niliyesema hivyo, hiyo ni article kwenye media.
TATU - nimemjibu mwenzio hapo juu kwamba kama TZ kuna chakula cha kutosha, mbona kuna world food organization na makampuni mengineyo kama hayo? there hasto be a problem for these...
Yes, just as the article says "despite denials". You just demonstrated this by your comment. HAHAHAHA!!!
Furthermore kuna world food programme in Tz, kama kweli muko self suffieicient why have these organizations? there has to be a problem for such organizations to exist in order to fix the...
I commend all my fellow Kenyans for lashing out on the president about hunger in Turkana and Baringo.......we know this is problem in our beloved home but we have to speak out.
Angry Kenyans attack President Uhuru for ignoring the hunger stricken Turkana county
Angry Kenyans attack President...
09FEB2019
Top 10 Facts About Hunger in Tanzania
Hatukatai njaa iko Kenya tena sana, meanwhile,
https://borgenproject.org/top-10-facts-about-hunger-in-tanzania/
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Yes, at least we don't denie there is hunger in Kenya....
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Pengine, lakini je, Nakuru wana mipango yeyote ya ujenzi wa mabarabara?
Was wondering what other infrastructure goes on there apart from the sgr.
I also think Nai is a little disorganized in many parts? Ijapokuwa mm sio wa huko so sina uhakika kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.