Search results

  1. B

    nahitaji mikro c compiler.

    Unaweza ukaanza hapa MikroElektronika - Development tools, Compilers, Books afu kama unahitaji pro cracked one njoo hapa asante kugawana ni kujali
  2. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Ohhhhh PIC programmer mpoo nashukuru sasa JF ipo juu tena leteni changamoto. Chipukizi wapi tunapata hizo PICs, Xtals, na LCD displays
  3. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Karibu kaka Nakutakia kila la kheri katika mradi wako maana unatia moyo. Tutafutane maana huku kuna matatizo mengi yanayo hitaji ufumbuzi na kwa mtazamo wangu PIC zitaweza kutatua mengi na kwa ufanisi mkubwa. Ni vema kama nitapata mawasiliano yako. Nakutakia kila la kheri. CHIPUKIZI TUJUZE...
  4. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Chipukizi tujulishe bei ya hizo ICs mlizonazo hapo DIT na tuwasiliane na nani kupata hizo ICs
  5. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    ogm12000 mimi natumia MikroC tangu 2008 nilikuwa natumia Microchip Assembler na ndo nilitumia kwenye mradi wangu wa BSc pale mlimani. Programer( Kiswahili?) na kibao cha maendeleo(development board) pia natumia EasyPic4 kutoka Mikroelektronika. Binafsi nimehangaika katika mazingira tofauti...
  6. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Hapo DIT vinapatikana wapi? Tunaweza pata mawasiliano mimi nahitaji. Pia waweza tujuza bei ya hizo IC mlizonazo hapo ili tuwatafutapo tuje kamili. Nawasilisha
  7. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    ogm12000 mimi natumia MikroC tangu 2008 nilikuwa natumia Microchip Assembler na ndo nilitumia kwenye mradi wangu wa BSc pale mlimani. Programer( Kiswahili?) na kibao cha maendeleo(development board) pia natumia EasyPic4 kutoka Mikroelektronika. Binafsi nimehangaika katika mazingira tofauti ya...
  8. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Nahitaji PIC16F88, PIC18F452, LM35, na LCD HD44780 Nazipata wapi hapa kwetu bongo? Kwa yeyeto anayeweza kuniuzia tuwasiliane
  9. B

    PIC microcontroller programmer mpo??

    Kwa wale wanaotaka kujua zaidi kuhusu PIC microcontroller angalia kuarsa hizi http://www.mikroe.com/en/ http://www.mikroe.com/en/books/picmcubook/ http://www.microchip.com/ http://hobby_elec.piclist.com/e_pic.htm Zita msaidia kujua hiyo ya kwanza ni jamaa wanauza dev tools unaweza ukashusha za...
  10. B

    Hello

    Hodi ulingoni marafiki walio makini
Back
Top Bottom