Search results

  1. M

    Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    Nilisema hivyo toka jana. Hii ni one of the easiest cases kuingia mahakamani. Nadhani judge anaelemewa na timu ya Lisu hivyo njama zake zinagonga mwamba. Ndo maana anasema atatoa uamuzi kesho hili apate muda wa kuongea na walomtuma. Chadema inabidi wawe na plan B. Yaani with or without judge...
  2. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Kwa hiyo Zitto akijua uchafu wao tufanyeje? Biblia inasemaje kuhusu uzinifu? Tupe jina la kitabu, haya na mstari kama una akili. Ukimaliza tueleze kwa nini Zitto macho yake yanaona uchafu wa viongozi wa CDM tu. Yakienda Uswiz yanaona dollar. Ukieleza hayo, nta debate na wewe. Vinginevyo huna hoja.
  3. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Wewe huna akiri. Nahurumia nchi yangu kwa kuwa na raia kama wewe. Hivi wewe ukipewa hela ujeruhi mtu popote pale si utafanya hivyo kama mtaji wa CCM siku hizi? Kwa nn unamwita babu mzinifu? Mke wake je? JK? Kapuya? Hufai na usirushe mawe wakati nyumba yako ya vioo. Nakufundisha jinsi ya...
  4. M

    Manumba,Said Mwema,Musa Ali Musa wasiachwe wapelekwe mahakamani tena ICC

    Ndo maana nikasema uongozi makini ukija. Hii maana yake ni kwwmba, Mahita alipaswa kushtakiwa na waliopo sasa hivi. Kama wewe na waliopo mnajua alikosa na hakuna shtaka, basi hapo hatuna uongozi makini. Tunao wa safari tu, yaani kutembea dunia nzima na kutesa au kuua watu, basi. Au unasemaje?
  5. M

    Manumba,Said Mwema,Musa Ali Musa wasiachwe wapelekwe mahakamani tena ICC

    Said Mwema hawezi kulikwepa hilo. Hata ipite miaka mingapi. Tungoje tu kiongozi makini ashike madaraka. Huyu alikuwa akiagiza makamanda wake kufanyia watu fujo kabisa na pengine kuua. Wapo makamanda walimrecord hata kwenye mikutano. Kwa nchi makini, Mwema hakutakiwa kukaa hata mwaka mmoja...
  6. M

    CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

    Na hiyo hapo, nyingine zinakuja.....zitavuna card nyingi.
  7. M

    Rais Kikwete safarini Marekani

    Ugonjwa wapi? anakula raha zake tu. Huyo kijana anaitwa Miraji....ndo anaendesha kila kitu akiwa huko New York
  8. M

    Taasisi Ya Urais Imepwaya mno Na Mfumo wa Kiserikali Ndiyo Mbovu Kabisa!!

    Ndugu, hata mawaziri wakipitishwa na Bunge, bado wabunge wengi ni CCM, usitegemee la maana hapo. Wameifikisha nchi yetu hapa, afu sasa wanapitia majukwaani wakitwambia nchi inahitaji maombi. Wengine wanadhubutu kutwambia tatizo letu hatuna harambee za kutosha hivyo tunahitaji harambee kubwa...
  9. M

    Sakata la Zitto na wenzake: Viongozi wa CHADEMA, tafadhali badilikeni!

    Chadema haipo kukulazimisha uwe mwanachama. If you dont like what they are doing, vote CCM au kaa pembeni. Ulitegejea kila walifanyalo likufurahishe wewe? Ni mangapi CCM wamefanya unayofurahia? Nakwambia, wasaliti tutawafata hata kuzimu, hata wapi. Kwa mbinu yoyote ile. Hatutachagua uipendayo...
  10. M

    Sakata la Zitto na wenzake: Viongozi wa CHADEMA, tafadhali badilikeni!

    Hivi kutofika kwenye ofisi za chama chako kwa miezi nane ni wazo tofauti? Watoto wa Arusha wakiuwawa na viongozi kushiriki mazishi wewe ukakwepa ni wazo tofauti? Kujiona wewe una akiri kuliko wote hata unaowaongoza hilo ni wazo tofauti? Zitto ni mhuni, mjinga, mtoto and yes, mnafiki.
  11. M

    Lowassa afunika dar

    China kaka. Kule ukikamatwa hata na dawa ya kulevya, kifo ndo adhabu. Sasa iweje uibie taifa lako na kuliingiza gizani? Kujiuzuru tu haitoshi. Wanakunyonga!
  12. M

    Lowassa afunika dar

    Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes. Najua...
  13. M

    Lowassa afunika dar

    Nakubaliana na wewe ila kwa mujibu wako unaonekana unasema hakuna solution nchini. Mimi bado naamini kwamba mtu asiye rafiki wa hawa watu anaweza kuvunja mitandao yao. Kwa CCM ni Mwakyembe tu. Kina Dr. Slaa wanaweza maana wameonesha nia toka wako Bungeni, sasa sijui kwa nini sasa hivi tu doubt...
  14. M

    Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Niliwahi kuandika hapa na narudia. Zitto hajui siasa, bado mdogo na kajimaliza mwenyewe kwa kiasi kidogo ila CCM wamemmaliza kwa kiasi kikubwa ndo maana wanamwangaikia sana. Sitashangaa wakimpa uwaziri. Huyu bwana akisimama akaona umati wa watu mwingi, anajiona anamiliki nchi ndo maana anafanya...
  15. M

    Rais Kikwete safarini Marekani

    Usilie ila chukua hatua. Hatuwezi kuwa taifa la mazezeta, yaani mashabiki wa wezi na ujinga. Tunashabikia hata watu wanaokula taifa letu mchana kweupe? Kama huamini ona watu wanavyo comment humu. Wote wametegwa na mtego mmoja tu, "..kaenda kutibiwa." Miaka nane ilopita tulidanganywa na...
  16. M

    Lema na Nassary Walitikisa Bunge kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu..

    Mwema, JK, Makina ni wahuni katika taifa letu. Inabidi Mwema ashitakiwe kwenye mahakama za kimataifa. Hawa watu ni magaidi.
  17. M

    Rais Kikwete safarini Marekani

    Haumwi huyo, anaenda kuangalia miradi yake. Kama mmegundua, siku hizi yeye ni kama mgeni Tanzania. Akirudi tu, anafanya ka ziara mikoani, anapiga picha na wajinga hili kuonesha alikuwepo, then anatokomea anakokujua. Inawezekana ni maagano ya kishirikina kwamba asikae nchini zaidi ya muda...
  18. M

    Rais JK Kumzika Mandela na Ujumbe Mzito Kutoka Tanzania!.

    Mimi na sugest Rais aache kulipwa. Sasa naamini kwamba alikula kiapo kwa mgaga kwamba asikae Tanzania kwa muda kadhaa maana hizi si safari, ni hatari. Wanakomzika madiba ni shughuli ya kifamily. Yeye na dignitaries wengine walipewa nafasi pale uwanjani...na kina Michuzi. Sasa anarudi kufanya nini?
  19. M

    Zitto aamua liwalo na liwe juu ya mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi

    Hivi watanzania tumekuwa mazezeta? Kila mtu kakazana, majina! Majina. Kwani kwenye sakata la Richmond, tulipojua wahusika walokomba hela yote tulifanya nini? Leo hii ukiambiwa mmojawapo wa watu wenye account Uswis ni mhusika wa Richmond, utafanyaje? Au ukijua majina yote utafanyaje? Hivi kuna...
Back
Top Bottom