Search results

  1. mayenga

    TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana Mkuu
  2. mayenga

    Kufungwa inauma sana, tuchukue hii kama fundisho

    Hatuna Shabiki mshamba kama wewe.Kaa kimya,matokeo na Haji wapi na wapi??
  3. mayenga

    Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

    Kwa maoni yangu suala la katiba ni la muhimu lakini si la kukurupuka nalo.Kuanzia utawala wa awamu ya tano,kifo cha JPM na kuchukua madaraka kwa mama,kuna maswali mengi ambayo katiba ya sasa haiwezi kujibu lakini sio suala la kiuanaharakati.Kuna mambo mengi ya msingi,asikuambie mtu unaweza ukawa...
  4. mayenga

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Sasa taa kitu gani wakati barabara kuelekea uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa?
  5. mayenga

    Kuanzia kesho vijana msikose bando, mikeka mingine inafuata

    Kwani mama alisema anateua vijana nafasi zote?
  6. mayenga

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Wanaume tunapoanza kuomba msaada kwa wanawake ujue tunaelekea kubaya.Huu ni ujinga uliopitiliza
  7. mayenga

    Dawa ya Miguu kunuka Andaa mwenyewe popote ulipo

    Mkuu naomba ya fungus please.Naumia sana
  8. mayenga

    Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

    Alipokuwa masikini mbona hukutuuliza?
  9. mayenga

    Hivi kwanini watu wa kizazi cha sasa ni wepesi sana?

    Maisha yanabadilika sana, watu wanakula hovyo na vyakula wanavyokula haviwapi nguvu wala akili. Tuna hali mbaya
Back
Top Bottom