Search results

  1. sinamvuto

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Sijaona umuhimu wa wewe kumblock pale mwanzo kisa yeye alikublock.Inaonekana huyo mrembo ameshajua udhaifu wako kwake,so anarudisha majeshi.
  2. sinamvuto

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Siri ya utajiri ni ubahili!!
  3. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Nimeleta kama swali,sijaleta kama hoja. Pia jitahidi kusoma key point za swali husika kabla haujaandika unachowaza!!
  4. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    "Hakuna mtu mwenye akili timamu,anaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka mingi" hii kauli ina ukweli boss?
  5. sinamvuto

    Huyu ndugu yangu alinidharau nimemsamehe bila kumwambia ila kwenda kwake naona hata uvivu

    Nakazia,ajitafakari sio kila kitu cha kuchukulia negative tu!!
  6. sinamvuto

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Kwenye dstv wametoa tangazo tangu wiki iliyopita kuanza tar 15 mwezi huu haitakuwepo hewani tena kwenye king'amuzi hiyo Emmanuel tv
  7. sinamvuto

    Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

    Sory nje ya mada,kwanini umetumia kauli" napenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?
  8. sinamvuto

    TV4Sale Hisense TV smart inch 50 inauzwa

    Daah!! Kweli umaskini unaharibu ndoto za wengi!! Nimekosa hela ya kuipata hii mashine ya ndoto yangu,kila lakheri katika biashara boss!!
  9. sinamvuto

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Eneo lako la huduma ni wapi? Tulio mbali na ulipo tunapata vp huduma
  10. sinamvuto

    Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

    Sana kwanini unahitaji hela yako
  11. sinamvuto

    Car4Sale Gx 100 forsale

    Nina bajeti ya 13 milioni,naiona ndogo sana kulingana na bei yako.Punguza boss ili nami nitimize ndoto zangu kumiliki chuma!!
  12. sinamvuto

    Car4Sale Mitsubishi Rosa inauzwa

    Jaribu kupitia upya maelezo yako,hakuna brand ya gari inaitwa mistubish honda,pia elezea kwa uzuri hiyo 33 kwenye engine ni CC au kitu gani!
  13. sinamvuto

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Hili suala la bomoa bomoa kipunguni A,linanigusa sana.Nyumba yetu iliwekewa alama na namba ya nyumba mwaka 1996, na kusitisha uendelezaji wa ujenz na makazi eneo la kipunguni A.
  14. sinamvuto

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ipo hela kwenye mfuko wa shati,inataka Xiomi note 10,iwe na 4Gb ram na 64 Gb memory.Isiwe yenye 5G internet
  15. sinamvuto

    Kati ya Belta, Premio, Allex na Raum, zote 1.5l, nichukue ipi?

    Ningekuwa na hela ningechagua toyota belta.Gari ya ndoto yangu
  16. sinamvuto

    Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

    Nimekupm namba yake huyo,mpigie uongee naye atakupa ushauri zaidi
  17. sinamvuto

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Vp boss ile xiomi naweza kuipata?
  18. sinamvuto

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mirungi ili achangamke uwanjani
Back
Top Bottom