Search results

  1. Semenya

    Justice delayed, justice denied - uzi maalum wa kudai haki kwa Yusuph Manji kwa Watanzania

    Salaam iwe juu yenu. Ni siku takriban ya nne sasa, kiongozi wetu mpendwa wa Dar Young Africans hayupo katika medani yetu ya soka na hatujui anaendeleaje. Nafaham alienda kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chaajabu, sikuhizi uki ripoti, unakua unalazwa kama wenzetu akina gwajima na...
  2. Semenya

    Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Kikwete alikua kiongozi. Tunakukumbuka baba, naomba nije nikuombe radhi.
  3. Semenya

    Ushauri wa Bure: Lipumba is Done! But Mtatiro hana Uwezo! Badala ya Kuinyanyua CUF, Ataizamisha!.

    Pasco, mbona husemi Lissu na Zitto walivyotoa siri? Mbona husemi Lowassa is Done amwache Mbowe afanye kazi yake? Mbona husemi Chadema itadodimoa badala ya Zitto na Slaa kuondoka? Upinzani ujitathmini, dalili si nzuri na ni sisi wakuwaambia ukweli. Mfano tu ni jinsi yote wanayopanga yanavyo...
  4. Semenya

    Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    Kikwete alikua kiongozi, nakumbuka siku ghorofa la kisutu lilipo poromoka, hata masaa matatu hayakwisha alifika.
  5. Semenya

    Hati za utambulisho wa Dr. Ramadhan Dau zakataliwa Malaysia

    Dau kuchelewa kupokelewa sio lazma tatizo liwe kwake, tatizo linaweza likawa diplomasia ya nchi yetu.
  6. Semenya

    The House of Kikwete: What went wrong?

    Small mindes discuss people. JK c mwenzenu. Soon ataukwaa uongozi AU ama UN.
  7. Semenya

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Rais haongelei elim, afya, ajira, michezo na sanaa. Vipi kwani anahofu gani? Mbona usalama upo tu? Kuna shida ya kiusalama ndani ya nchi? Kama Rais kuna mambo muhim yakuongelea na kusimamia ila sio kila siku santuri ya usalama, ukali na ubabe. TUMECHOKA TAYARI.
  8. Semenya

    Kuna nchi yoyote yenye barabara/mtaa wenye jina la kiongozi wa Tanzania?

    Kenya kuna bara bara inaitwa Jakaya Kikwete Road. Unataka kupiga majingu mleta mada???
  9. Semenya

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Watanzania kwa unafiki tunaongoza. Chuki zenu kwa JK mnaona hata kama bandari ikijengwa kubwa tena yenye uwezo Africa nzima mnaona iachwe kisa eti majirani wanaona wivu wanatutenga. kwahio hata utalii tuache kisa tutatengwa,mlima kilimanjaro tuache kuutangza kisa tutatengwa. mimi sijali bandari...
  10. Semenya

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Ndugu, katiba hii hapa ndo rasimu yake.
  11. Semenya

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    WACHAGA mnataka kila sehem awe 'lyimo', Ndo tatizo lenu, sasa yupo Idrisa UDOM mnampa chokochoko. Akiwa Ramadhani Dau NSSF wadini, ila TRA , Wizara ya fedha, UDSM hatusemi...wachaga majinga sana na mtakaa hamtatawala kamwe. CHADEMA BADILIKENI JAMANI. Bahati mbaya au nzuri nchi ni ya dini mbili...
  12. Semenya

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    sasa na UDSM na MZumbe ni wadini pia?
  13. Semenya

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    tatizo ni kuwa, hakukuwa na mawasiliano baina ya marando na Zitto, ndo maana malalamiko Zitto kaja kuyatoa JF kama mshangao. kungekua na mawasiliano asinge kuja hum. kuna kitu hakiko sawa CDM.
  14. Semenya

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    kwa maelezo ya ZZK hio number haijawahi kutumika tokea aiache...tukubali kosa tujirekebishe..au CDM malaika?
  15. Semenya

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    Wana JF, Kama alivyosema Mwanakijiji, tunawajibu wa kuiweka CHADEMA sawa kama tunavyoiwajibisha CCM. Kitendo cha CHADEMA kutoa waraka, tena unatolewa na Adv Marando, na kuiweka number ya Zitto hapo kuna walakin. Inaonyesha kuwa Zitto hakupewa huo waraka kuupitia au ni wa Marando peke yake...
  16. Semenya

    Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

    Nawewe L na R janga la taifa?
  17. Semenya

    U.N. condemns "abhorrent" attacks on Tanzania albinos

    You are also a PROBLEM AND A CANCER, you bring politics in a serious issue. The killing of persons with albinism is not of CCM, CUF, CHADEMA or anyone. It's a Tanzanian problem. Me, you, they and the whole community should deal with this problem. Don't bring your politics in serious issues. You...
Back
Top Bottom