Search results

  1. foshizzle

    Ipe maneno hii picha

    Nape nauye akimtuza Hadija Kopa katika show ilofanyika jijini mbeya
  2. foshizzle

    Tumsaidie huyu mtoto jamani

    Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii...
  3. foshizzle

    Juma Ngasongwa apata ajali mbaya Kibaha picha ya ndege

    Mh Juma Ngasongwa akikokotwa kuingizwa Hospitali ya Tumbi kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali katika eneo la Kibaha jana jioni. Mhe. Ngasoma amenusurika kifo katika ajali hiyo iliyotokea jana jioni Kibaha Picha ya ndege Mkoani Pwani. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza na Dr...
  4. foshizzle

    *mahakama ya kisutu yawaachia huru wanahabari kibanda,makunga na makada wa chadema washinda kesi

    Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imewaachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye kwa sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, Meneja...
  5. foshizzle

    ipe maneno hii picha

  6. foshizzle

    PICHA: Mawaziri wapya wakiapishwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na familia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu...
  7. foshizzle

    Mwanajeshi fake amekamatwa Tanga ofisini kwa mkuu wa wilaya

    Na Mashaka Mhando,TANGA VIKOSI vya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa,vinamshikilia Edwin John Mponji (31) kufuatia kwenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga na kujitambulisha kwamba yeye ni koplo wa jeshi la Wananchi JWTZ akitaka kijana wake afanyiwe mpango wa kuingizwa Jeshi la kujenga...
  8. foshizzle

    Usaliti haufai

    Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti. Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti mpenzi wako ili uishi maisha marefu yenye furaha.
  9. foshizzle

    Nimejiunga na mtandao mpya wa BOL lakini nakosa vocha

    Naomba kujua kama max malipo wanauza vocha zao.
Back
Top Bottom