Search results

  1. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    kama sijakutumia na mimi ni fisadi unapoipata tunataka habari zaidi
  2. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    nadhani wameshatowa okey nitascan kwa ajili yako tuma email adress yako ni font page na page ya majina . ila itachukuwa mda mpaka nimsake mwenye kitabu
  3. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    hahah nipo sana tuu hakuna kuogopa kitu, sindio tunataka tuangamishe mafisadi , au si ndio nia yetu sasa kwanini tufiche atoki na mkuu wala nini nimuongo anawatapeli wanaume ili wamuogope kwani uyo mkuu yeye anafagilia hivi vijimambo tuone sasa tafadhali wanahabari ngoma iyo mpaka kieleweke
  4. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    mbona wabongo manapenda kutafuniwa, sinimekupa wesite na all information tafuta bwana si unajuwa kuchezxa na IT
  5. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    dalali, mbona unanitaka umbea nimeona mshaanza kututisha hapa, ila sisi weekend ijayo kuna kikao na watu wa BOT na wengine tutauliza ilo swali. unajuwa mwenye kufaulu mpe ongera na ukifeli achia kitin icho vikky alisona SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK sio London na kama London basi nacho...
  6. N

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    mimi sipo hapo, yaani munamuongelea mtu ambaye hata moja jumlisha moja hajui; kweli tulikuwa nae uku SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY, mwaka jana alipata bahati yakumaliza ila hakupata bahati ya kupata cheti sababu alifelikwakuwa hakuweza kusoma ni bichwa bule, hata assignment alikuwa...
  7. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    where you are now, ni kweli kabisa hata mimi nilishawahi kuona ilo mfano utakuta tunabishana kitu kwa kweli ni cha kutumioa akili ila nikisema ivi yeye anakomaa kwenye msimamo nikibisha utaskia wewe si msomi , kama vile inferiority complex ndio maana nikamwambia angesoma hata form six tuu...
  8. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    kaka kuwa na boy friend watatu is not a big deal and is not mean that ni malaya, kama ningekuwa nao ningekwambia , nashukuru kwa kuskia uchungu ila naitaji ushauri wako sio kingine, but is okey ma dear ila mawazo yako sio nilivyo
  9. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    wazazi wangu wote hawjasoma na hawana pesa sana kama unavyofikilia wana pesa za kula tuu, ila kwavile they spend alots of money for my school fees they expect that they gonna enjoy the life, kigezo kingne wanaona elimu ndio kitu muimu there is no need for being marriage with mtu asiyesoma ,. na...
  10. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    unajuwa waweza kuwa na elimu ila mambo ya jamii ukashindwa tatuwa ndio maana binadam anasema hawezi kamilika na hili na elimu hata haiendani kwani ni hesabu kama nitacalculate any way ushauri mzuri sana , sio malaya kama unasema nitamegwa na kuacha natumaini nimejielezea vyema tuu na msimammo...
  11. N

    Wahaya nao wamo!

    hahhah too uch is harmfull; nimajigambo tuu hawana lolote wenye ivyo vitu uwa hawasemi hata kaam unavyo yanini kumpa mtu faida
  12. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    Asalaam alaykum wana jamii nipo kwenye wakati mgumu wa maisha nashindwa kuamua, mimi ni msomi wa shahada mbili sasa na nina miaka 30, naitaji kuolewa na kuwa na watoto na familia shida yangu ni kwamba kila ninapopeleka mwanaume nyumbani anakasoro, nakumbuka mwaka 2003 nilimpata kijana mmoja...
  13. N

    She says she is Unhappy!

    kweli wahitaji ushauli ila mimi kama mwanamke naona uyo binti anaweza akajirekebisha na mkaendelea na maisha ya furaha unajuwa nini nini zaidi wanaume mnajisahau sana kwa wapendwa wenu nina exeperience na hilo na kingine umechukuwa mda mrefu sana kuamua suala la ndoa kwaiyo inawezekana akawa...
  14. N

    Nipo katika wakati mgumu saaana

    mimi nipo ila je utameet my creterial , nafkili nina sifa zote ila ndio ivyo kama uko tayari tuwasiliane
  15. N

    Which is better: Single or Unhappily Married?

    jamani ipi iyo mbona sijaiona
Back
Top Bottom