Waungwana mimi ni mmoja kati maelfu ya wateja walionunua na kutumia mitungi ya gas ya Puma.
Kwa wiki kadhaa kampuni husika haisambazi tena gesi hiyo na hivyo kutusababishia usumbufu mkubwa.
Wakuu mtusaidie ni kwa jinsi gani ya kuondokana na kadhia hii na kama tumetapeliwa tutafidiwaje?
Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Wanaandamana jeshini mnawatete waasi hawa, vitani watakataa kusonga mbele na watachagua kurudi nyuma . Hawafai kwa kazi ya uanajeshi labda wapewe ajira za kisiasa.
Vita hivyo vilidumu kuanzia mwaka 1905 hadi 1907. Hivi ni vita vilivyopiganwa na Watanganyika dhidi ya wakoloni wa Kijerumani wakipinga ukandamizwaji wa haki na uhuru wa kujiamulia mambo yao.
Historia inatueleza kuwa vita hiyo mtemi wa wanajamii Kinjekitile Ngwale. Huyu alikua kiongozi shujaa...
Serikali ina haki ya kumlinda mlaji kwa staili ambayo haimuumizi mzalishaji wa bidhaa, msambazaji wala muuzaji.
Ukiona bei ya bidhaa inapanda kiholela au ulanguzi wa bidhaa basi ni dhahiri kuna tatizo la kimfumo katika uchumi wa nchi husika.
Busara zaidi za wachumi wetu zitumike kuishauri...
Mbona mnahamisha mada kutoka kwenye kiini cha tatizo na kulazimishia chuki kwa nafsi za watu?
Bila shaka kosa lipo na adhabu ipo kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na serikali yetu tukufu.
Ni bahati nzuri ada ya sheria ni msumeno hukata pande zote. This time imekata kwa kipenzi cha watu hususani...
Bure mnawaogopa hao wahindi mbona ni wa kawaida tu . Hawana ubaguzi wowote tatizo ni tamaduni zetu.
Mabinti wa Kihindi nao wanaona kama sisi tunawabagua, nadra kudate nao wala kuongea nao "nor approach" au wangapi wametaka kuowa wakakataliwa?
Shida sio WAMACHINGA WASIFANYE BIASHARA BALI MABANDA YAJENGWE KWA UTARATIBU UNAOHESHIMU MAZINGIRA, BARABARA NA WATEMBEA KWA MIGUU.
Idadi ya wateja (walaji) ni ile ile hata wakijenga mabanda mengi kama mchwa
Natamani kujua kwanini watu wasiotoa sadaka ipasavyo wanapinga sana taratibu za utoaji sadaka.
Na kwanini wale wanatoa sadaka hawavunjiki moyo na wanafanikiwa zaidi kimaisha?
Write your reply...Hukumu ya juu kabisa duniani atoayo "jaji" ni kifo..
madaktari nao hutibu wagonjwa lakini kuponya ni kazi yake Mungu .
Mungu ndiye mwamuzi na mamlaka yake haihojiwi kwani Yeye ni Alfa na Onega.
Nahumu:3.1
Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki.
Nahumu:3.2
Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kupara-para, na magari ya vita yenye kuruka-ruka;
Nahumu:3.5
Tazama, mimi ni juu yako, asema Bwana wa majeshi; nami...
Hill ni fundisho kwa watawala wetu.
Bei inapopanda wakajisifia kuwa wamepandisha wao (na sio hali ya soko ) , wajiandae pia kujishushua bei inaposhuka.
Nimenunua umeme wa LUKU kwa Simu lakini Simu yangu imeibiwa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha nifanyeje ili nipate token namba zilizoko katika muamala husika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.