Search results

  1. M

    Mwakyembe unasema Nape hakumhoji Makonda mbona wewe hukumhoji Lowassa?

    Umeandika kitu ambacho hata mie nilikuwa nakifikiria ila ingekuwa vizuri sana kama siku ile anahojiwa alitakiwa aulizwe swali hilo tatizo la wanahabari wetu wanaacha makusudi kuuliza maswali mazuri.
  2. M

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jamani huko Sengerema upepo unaenda je?
  3. M

    Operesheni Zinduka 7 - Afya ya Lowassa Siyo Hoja kwa Sasa - TeamLowassa Wameona Mbali?

    MMM, Tokea mwanzo nilijua kuwa hiyo operation Zinduka yako hukuwa peke yako nahii inajidhihirisha pale unapoandika kuwa "kwa upande wetu katika operation zinduka tunaona na tunaamini hatuna sababu ya kutumia madhaifu ya Lowassa kiafya kama sababau ya kutaka watu wasimchague" mwisho wa kunukuu...
  4. M

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Kwa hiyo siku hizi CCM si ya wanachama wote imekuwa ya Magufuli? hata mwenyekiti wenu wa chama hawezi sema hivyo. Kweli Lumumba mmechanganyikiwa, mwaka huu mtaisoma namba.
  5. M

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Haya wewe ndo una impact huko CCM kwenu.
  6. M

    Mkutano wa Lowassa unaofanyia Nyehunge, Jimbo la Buchosa Sengerema

    Mbona naona watoto wengi mno kuliko watu wazima kulikoni? Watampigia kura hao.Hebu angalia kwenye picha kuanzia hapo waliposimama askari polisi ni vitoto vitupu. Huyo askari mwenye kamera yuko kazini.Ukawa msiwe mnawazuia askari wenye kamera kufanya kazi zao . Watoto hao ndo wapiga kura wa...
  7. M

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Ndio namuunga mkono acha ahangaike na atimize wajibu wake, ila akae akijua LOWASSA ndo nitampa kura yangu.
  8. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Nafurahi sana kuona jeshi letu la Polisi limeamua kufanya kazi usiku na mchana ili kuhabarisha watanzania habari za uhakika na za kiuchunguzi, Hii haitawapa waovu waliotaka kutumia ajali hii ili wapewe kura za huruma kwa kupotosha ukweli.
  9. M

    Mgombea yupi ?Wa Uraisi anakubalika mkoa up?i

    aliwapatia maji kutoka ziwa victoria
  10. M

    Mikakati ya kulinda heshima ya mgombea urais wa CHADEMA yaendelea, sasa ni kuhusu muda wa kuzungumza

    Nimefurahishwa sana na hiyo comment yako, ya kuwa hata asipoongea kabisa kura ameshapata tayari.
  11. M

    Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

    Tabora na Kahama hujasikia?
  12. M

    Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Umeniacha hoi ndugu yangu kwa kusema kura yako ipo Chadema, baada ya hapo unarudi CCM kwasababu wakati huo watakuwa wapinzani na kwa vile wewe unapenda kuwa upinzani siku zote. Hiyo Kali.
  13. M

    Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Kwa kauli yako unaikubali kuwa Chadema na ukawa itashinda, ila inaonekana kuwa bado huamini kuwa m wanachama aliyekuwa CCM na kuenda UKAWA bado yupo CCM pole sana
  14. M

    Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Subirini Dr Slaa atakapoibuka na kusema hakuna adui wa kudumu kwenye siasa hapo mtakosa la kuongea.
  15. M

    Lowassa umekuja CHADEMA kwa nia ya Urais au uliipenda CHADEMA kabla?

    Ndugu yangu kuwa mpole tu utakapoona Wanachadema wakishangilia kwa ushindi hapo utabubujikwa machozi ya furaha,tumechoka kuwa wapinzani
  16. M

    Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

    Chadema na UKAWA wamewakalia vibaya safari hii mnakimbilia kutoa matamko ambayo hayako wazi kuelezea tatizo hasa ni nn.
  17. M

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    vipi mbona upande wa magamba watia nia walitafuta wadhamini wengi tu na wote tunajua kilichotokea, hivyo basi wadhamini si kitu kwa Chadema.
  18. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Naona dalili za kujifariji wewe sio team Lowassa
  19. M

    Hatimaye ngoma sasa ni Lowassa vs Magufuli

    Huyo Magufuli wananchi gani wana imani nae?
Back
Top Bottom