Search results

  1. S

    How kan i know.....

    chukua muda na mchunguze taratibu, huenda keshapata mwingine anayemkeep busy. Angalia maisha yako kwa sasa na ujiandae kwa lolote. Mimi yalinikuta hayo hayo mwanzo anakuwa na muda kila siku baada ya kazi lakini ghafla akawa anasingizia yuko busy kila siku. Nilichunguza na kukuta kapata mtu...
  2. S

    Mrembo wa Bongo katika Pozi

    mhhh kazi ipo!
  3. S

    Tanzania's Hottest couples

    ni kina nani hao?:A S 13:
  4. S

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    I think in next election everybody should play her/his part. We must unite and throw out this old stinking ccm party. We are sick of its mafisadi, nepotism and other foul scandals which brought shame to our country. Bye bye ccm in 2010, enough is enough !We will not bear to see you...
  5. S

    Marrying a chagga

    so what? think before you paste anything here!
  6. S

    Ulinganifu wa Usafi Dar na Finland

    tusiende mbali tuende moshi mjini, jaribu kutupa taka hovyo au ukojolee ukuta uone matokeo yake. Tuanze kubadilika na kuweka mazingira yetu katika hali ya usafi, kwanza kabisa jiji liweke mapipa ya taka kila sehemu na taratibu watu watabadilika!
  7. S

    Rais Kikwete anahusika Richmond?Mungu azidi kutubariki, atufunulie akili zetu

    we need to make something happen next year! Let us make it happen by bringing major change in Tanzania like in Kenya. We are fed up with corrupt leaders in Tanzania. Together we can!
  8. S

    Jamani makamba anazeeka vibaya!!!!!

    huyo makamba hana dira ila anapayuka payuka ovyo popote pale bila kujali yuko wapi au kuna nini, akifikiria huko ndiko kukipigia debe ccm kumbe anapaka mavi! aachie ngazi sasa kutawala kushamtosha na sasa anaharibu kila kitu ......ovyo!
  9. S

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    yaani mtu anagombea uongozi kwa ajili ya kuifaidisha familia yake na tumbo lake tuu mahekalu mawili ya nini? Yeye ni Tembo au atawezaje kuishi katika mahekalu mawili at the same time? Hiyo ni tamaa ya fisi tu! Acha mali aliyowekeza loliondo pamoja na waarabu plae! Hajatosheka bado? Anaangalia ni...
  10. S

    Apata kipigo kwa kumuandalia chakula baba mwenye nyumba

    hivi wewe mama vipi? si ungewahi kurudi toka kwenye hiyo kitchen party yako ? ovyoooooooo!
  11. S

    Kila kabila lina stahili yake

    Any proof of that?
  12. S

    Tuliaswa tusitake kuwaelewa wanawake...Lakini hapa!!!!

    hapo my wife alikuwa anakupa tahadhari tuu na siyo mengineyo
  13. S

    Why me?

    Big up invisible umemaliza ushauri wote alotakiwa kuupata !
  14. S

    Ni lazima nafasi nyeti zichukuliwe na "wastaafu"?

    Mwakapugi kastaafu? january haijafika bado! hiyo ni janja ya nyani ya kuuzima moto wa richmond scandal unaotarajiwa kulipuka kipindi kijacho cha bunge! Pia JK kashauriwa kufanya hivyo kama kujiosha na hii scandal na hata kama Mwakapugi atapelekwa mahakamani kama mgonja tayari atakuwa ni mstaafu...
  15. S

    kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

    cha msingi mkalishe huyo binti umuulize kwa undani kama anakupenda au laa,kama hana bwana mwingine kwani yaelekea ana mtu mwingine pia na hajaamua kuwa na wewe, all in all japo ukweli saa nyingine unauma lakini akupe ukweli ili uweze kufanya maamuzi!
  16. S

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?? Jamaa awavimbisha wawili kwa mpigo..

    hii ni kali na kwa kweli uamuzi anao huyo mdada mwenyewe, ajiulize maswali kadhaa- bado anampenda mumewe baada ya kujua hayo? yuko tayari kumsamehe kabisa na kuendelea kama kawaida na mumewe?Kama majibu yote ni ndio na amesamehe toka ndani ya moyo wake na kusahau na yuko tayari kuendelea kuishi...
  17. S

    I am sorry mabinti wa kichagga

    No research no right to speak! Kwanza huna uhakika na unayozungumza- umeambiwa na rafiki yako ambaye ana mchumba mchaga, siyo wewe sasa kinachokufanya uamini wana sifa hizo ni kitu gani? Kwanza enzi hizi kuanza kujadili ukabila na tabia hatutafika mbali, kama watu wawili au 3 walikuwa na tabia...
  18. S

    I am sorry mabinti wa kichagga

    watu wawili kamwe hawataweza kutoa generalization ya namna yoyote kwa kabila lenye watu wengi kama wachaga. Labda ulikumbana na hao mabinti wawili na kwa bahati tu wakawa na hizo tabia.Hivyo basi hatuwezi kuwapatia wachaga wote sifa hizo. Na kwanza weka wazi sifa zote hizo ulizowapa ulizipimaje...
Back
Top Bottom