Search results

  1. M

    Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

    Nyinyi munaojifanya wajuaji sana na kudhani muna elimu wacheni pumba zenu hapa. Kama Rais kaweka watu bomu taratibu za kumuondoa raisi wa nchi nzima haziwezi kumalizika kwa watu wa Kigoma lakini juhudi za wa Kigoma zinatosha kumshawishi Rais aondoe viongozi bomu wa Kigoma. Ina maana kila...
  2. M

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    mama yangu na ndugu zangu walikuwa hawataki kwenda kupiga kura kwa kuwa wanaona CCM ni wezi lakini nimewashawishi wakakupe tu kura hata kama CCM watachakachua, we need to make if difficult kuchakachua. Good luck Dr. Slaa!!
  3. M

    Elections 2010 Rais slaa huyoooooo

    Mhwshimiwa ana ugomvi na suti ama anaitikia mwito wa Pinda wa kuachana na masuti?
  4. M

    Rostam Aziz & Yusuph Manji

    Umeishiwa wewe!!!!
  5. M

    Ni uhaini - as simple as that!

    Muungano ni kama koti, wakati wowote ukilichoka unalivua tu.
  6. M

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Wachangiaji munaopingwa huu mkwara wa vyeti munakosea. Lazima muangalie audience ya huyu Kijana na mindset ha audience yake. Hapo majority ya watu shule ndogo, ukileta karata ya shule utaweza kuonekana nabii. hayo ya shule ni jambo moja na delivery ni something else ni hoja ya maana...
  7. M

    Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

    NIutafiti gani uliofanya ku prove hisia zako. Unadhani ukienda TRA na kuangalia majina ya major tax payors utawaona akina Mengi tu, Bakhresa je. Ukienda Mlimani kuangalia waalimu hakuna akina Musa pale, ukienda kariakoo unadhani majority ya wamility ya yake majumba ni akina nani. Hii...
  8. M

    Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

    Asante, wala riba wana options za kula riba ma wapinga riba wana products zao, sasa ugomvi wa nini? Ama mumesahau Mzee Mwinyi alishasema 'kila mtu atakula alichokizoea' tulivyokuwa na vurugu za mabucha ya nguruwe.
  9. M

    Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

    Sielewi kwa nini hii kitu inakusumbua. Kama wewe ni mkristo na ni ruksa kwako kunywa pombe na nguruwe hakuna anayekusumbua, kwa nini waislamu wakifuata utaratibu waliowekewa katika kuwekeza ikusumbue kama imani zako zinakuruhusu kula na kuchukua riba.
  10. M

    To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"!

    Bwana Yesu alifukuza watu kwenye temple si kwa kuwa alipinga biashara lakini kwa kuwa alikemea riba na aliowatimua walikuwa ni money lenders, mchezo wa riba umeanzishwa na mahayudi zamani sana, sio leo. Mtume Muhammad (S.A.W) yeye alikuwa anatoa hutba ya Ijumaa na ikashuka caravan ya biashara...
  11. M

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Waache watanzania wachague mtu wanayemtaka hata kama wanataka kuchagua mtu kwa kuwa tu ana meno mazuri na meupe. Mdahalo utawawezesha wale wanaivutiwa na nguvu za hoja kujionea wenyewe nani kapita kutokana na kichwa chake na nani kapita kwa kuwa ana good smile.
  12. M

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Mwanakijiji Mdahalo wa namna hii utavutia watu wengi sana kwa hiyo itavutia sana wadhamini. Kivutio kingine ni kwamba JF haifungamani na upande wowote kwa hiyo watazamaji watategemea objectivity. Ninaamini if you come up with a budget ya kuendesha mdahalo na kutangaza nafasi za udhamini...
  13. M

    Udini wainyemelea CCM?

    Wasiwasi wa bure tu. Nji hii hakuna Wakristo safi ama Waislamu safi wa kutosha ambao wanaweza kuwa na agenda ya kujipendelea kwa hiyo siamini kama wapo wenye sifa za kuwa na agenda na kidini. Kwanza dini zenyewe haziruhusu kujipendelea katika uongozi kwa mizingi ya dini. kama kweli nchi...
  14. M

    Tanzania bila yesu aiwezekani

    'Yesu ni bwana' maana yake ni nini?
  15. M

    Muungano wa Upinzani Umekwamishwa na Nini?

    Chama pekee chenye uwezo wa kutikisa na kung'oa CCM visiwani ni CUF, katika Muungni hakuna hata chama kinacjoweza kuapata hata 20%. Bila ya alliance CCM lazima ipete na ndio maana wagombea wake wanasema hawajui chanzo cha umasikini na bado wanapeta.
  16. M

    Una housegirl?

    Ina maana alikuwa ang'atwi? Kama angempeleka mtoto kwa madaktari makini wangeweza kumwambia aian hiyo virus ya mdomo inapatikana kwa njia gani, angepata hint.
  17. M

    Muungano wa Upinzani Umekwamishwa na Nini?

    Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi? Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa tutakuwa na ushindani wa kweli wa siasa. Nikiwa kama Independent nilifarajika, sasa sisikii lolote...
  18. M

    Natangaza rasmi dhamira ya kugombea Ubunge 2010

    Kila la heri ila angalia uwezekano wa kubadilisha rangi ya blog yako, rangi ya pink kwa dume la nguvu ina mushkil. Tunataka kuona vijana wana nafasi muhimu sasa, propoganda za vijana ni taifa la kesho zimepitwa na wakati. Good luck!!
  19. M

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    Pole Mh. Daraja na wanafamilia. Hiki kisa kinasikitisha sana kwa sababu wa-Tanzania sasa tumekuwa na roho za kikatili kupita kiasi. Mama mwenye nyumba anaweza kuuwawa kwa ajili ya milioni 2, kibaka anauwawa kwa ajili ya tuhuma za kuiba kuku etc. Ni matumaini yangu polisi watafanya uchunguzi...
  20. M

    Baadhi ya mabosi kuwa mashoga, ni laana ama?

    Mimi sishangai private citizens kuwa mafirauni japo kuwa napinga. Kinachonishangaza ni makanisa kubariki michezo huu miongoni mwa viongozi wake. Hawa Lutherans wanasema kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa. Hivi Wakristo munapoona mapadri wenu wanabariki uhani.dhi na ubasha...
Back
Top Bottom