Search results

  1. nguvumali

    Uchimbaji wa michanga mto msimbazi

    Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo. Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni...
  2. nguvumali

    The Bistro Bar Dodoma wanawahitaji Tena NEMC au Idara za Afya

    Nimeingia Dodoma Jana kuhudhulia uzinduzi wa Ikulu , Jioni hii nimefika Bar Ilivyokua imefungiwa na NEMC inaitwa The Bistro ...Iko Dodoma Nkuhungu. Hii bar Kuna haya Mamitungi ya Shisha yanavutwa kila upande na kufanya indoor bar kuwa na mimoshi kwelikweli . Mamlaka , zichukue hatua kuhusu...
  3. nguvumali

    Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  4. nguvumali

    Maktaba ya taifa Dodoma rekebisheni kasoro hizi

    Nilifika Maktaba ya Dodoma siku saba zilizopita, ni maktaba nzuri sana kwa kuangalia jengo. Kuna kasoro ambazo lazima zirekebishwe haraka. 1. KELELE NJE YA MAKTABA Viongozi wa maktaba lazima wazingatie ukweli kuwa maktaba ni eneo lenye kuhitaji utulivu sana kama ilivyo mahakamani na...
  5. nguvumali

    Daktari Bingwa

    Leo nilienda kuonana na daktari bingwa wa Macho pale Muhimbili. nimeingia ndani ya chumba cha bingwa huyo nikakuta ni kijana ambaye havuki miaka 35. nikamuuliza nimekuja kuonana na bingwa wa macho....kijana akasema ndio yeye bingwa...! niwaulize bandugu, ubingwa wa daktari wa tiba...
  6. nguvumali

    Vituo vya mafuta vyakwepa kodi ya TRA

    Nimefanya upembuzi wangu kwa kushirikiana na macho yangu nimethibitisha pasipo shaka kuwa vituo vya mafuta (Petrol stations) hapa Tanzania vinakwepa kulipa ushuru wa TRA Kwakua wana mashine zile za kutolea receipt za TRA lakini wao hawatoi. Inapotokea mteja anadai wampe receipt wao hummpa ile ya...
  7. nguvumali

    Polisi wa doria za Pikipiki wamejisahau

    Tangu nimerejea Tanzania miezi 7 iliyopita nimekuwa nashangazwa sana na ongezeko la Polisi wenye pikipiki maarufu kama TIGO wanaofanya kazi ya kukagua stickers za Bima, kukagua kama umelipia Kodi ya mwaka ya umiliki wa gari, wanakagua malori ya mkaa , pia wako busy kukagua bodaboda na...
  8. nguvumali

    Hivi bado kuna watetezi wa Mbio za Mwenge ?

    Asante shemeji yangu Daniel kwa maneno mazuri ! HIVI BADO KUNA WATETEZI WA MWENGE AMBAO KINDAKINDAKI WANAAMINI ILI TUENDELEE TUNAHITAJI KUKIMBIZA MOTO NCHI NZIMA.....?
  9. nguvumali

    Idara ya Mambo ya Kale Ni mzigo kwa taifa

    Idara ya Mambo ya kale iliyopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii ni idara iliyoshindwa kabisa utimiza majukumu yake ya msingi ikiwamo kulinda na kusimamia mali kale mfano majengo yenye Historia ndefu ndani yake. Siku za karibuni tumeona majengo kadhaa yenye Historia iliyotukuka yakivunjwa...
  10. nguvumali

    mwaka wa 8 WA VIFO VYA VIVIAN NA COMPLEX

    Leo ni mwaka wa nane (8) tangu tangu Vivian na Complex watutoke. nawakumbuka sana , maisha yanaamana kubwa Mungu awapumzishe na awape raha ya milele.
  11. nguvumali

    Gari ya uganda ilipoongoza maandamano Mwanza

    Katika Tukio la kusisimua Mkoani Mwanza gari walilokuwa wakitumia Polisi lilikuwa na namba za Uganda ! Je huu ni ujirani mwema, ama ?
  12. nguvumali

    clouds ijufunze ustaarabu wa wengine.

    Clouds media tayari wamezindua msimu wa Burudani za Fiesta kule Mkoani Kigoma, itafuatiwa na matamasha kadhaa katika mikoa zaidi ya kumi (10) . Wapenda Burudani katika mikoa hiyo wanajiandaa kupata burudani ya uhakika isiyo na mikwaruzo. Leo tangu asubuhi kwenye radio yao inayosikika baadhi ya...
  13. nguvumali

    mtabiri wa TAIFA , chanzo cha madhila haya.

    nimewaza sana haya yanayoendelea , nimemfikiria Mkuu wa Nchi yetu mzaliwa wa Msoga, nimewatizama wasaidizi wake na wanamzunguka, nimewatazama watoto wake na mke wake. Nimeshindwa kufikia hitimisho kwa haya yote yanayotukumba kama taifa mfano Udini, chuki za kisiasa, madawa ya kulevya na ukosefu...
  14. nguvumali

    Je kuna faida kuwa Gold member au Tanzanite member ?

    jamani nimekuwa Gold member hivi majuzi, nimeona kuna wengine Bronze, wengine Senior experts , wengine Tanzanite na wengine Premium ! je kila class inakupa faida Gani ? ni kwanini ni muhimu kuwa Tanzanite kuliko kuwa Premium ?
  15. nguvumali

    Mpokea hundi wa CRDB Holland House anadharau sana

    nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda kujiwekea akiba kwenye akaunti yangu pale CRDB TAWI LA Holland hakika huwa nakwazika kutokana na...
  16. nguvumali

    tozo za simu, Ikulu yafunguka

    Ikulu ya Kikwete, Waziri mkuu, Waziri wa Fedha ni mkinzano mtu
  17. nguvumali

    Matumizi mabaya ya mali ya umma

    hilo ni gari la serikali linalotumiaka na kituo cha Afya Ilembo..Mbeya Vijijini limekutawa likipakia abiria. Hii ni hatari kwa maana Mkuu wa afya anashirikiana na dereva wake katika biashara husika. nauli kutoka Mbalizi hadi Ilembo ni Tsh.4000. Mamlaka husika mpo wapi? hebu njoo mpate taarifa...
  18. nguvumali

    naweza kumsamehe MANGUNGO WA MSOVERO

    niliutazama Ujio wa rais wa China kwa masikitiko sana na Tangu jana nimekuwa nikiangalia Mbwembwe za kumpokea Rais Obama na Wamarekani wengine kama Kejeli ya wakati wote katika Taifa letu. Wakuu wetu wametuambia kuwa Urafiki huu ni urafiki wa Kihistoria na hakika utasaidia pande zote...
  19. nguvumali

    nataka kuacha kupokea taarifa za IMEI ya simu iliyopotea

    mke wangu alipoteza simu yake ambayo alikuwa ameset IMEI notification kila ukibadili line, sasa jamaa alieiokota hajui nini kinaendelea na kwakua sitaki kumfuatilia kuogopa kupoteza muda ninachotaka kuremove uhusiano wa sim card yangu na IMEI ya handset hiyo. Naombeni msaada napaswa kufanya nini
  20. nguvumali

    Trafic Police wamtandika askari wa JWTZ hadharani

    MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini...
Back
Top Bottom