Search results

  1. M

    My laptopis is using windows vista, can i downgrade it to winxp sp2?

    Laptop yangu ina windows vista, but nataka nitumie windows xp 2p2, can i downgrade without loosing my data?
  2. M

    Mchango wa ict uchaguzi wa tanzani 2010

    Mchango wa ICT ulikuwa mdogo coz most operation zilifanyika manually, halafu pia katika baadhi ya vituo hata hizo facilities i.e Computers zilikuwa chache sana na kufanya kazi iende slow sana na pia system ya NEC ilionekana kuwa na matatizo mengi, next time inabidi kujipanga mapema, wahakikishe...
  3. M

    Kuweza ku install,change settings as a user

    Muombe system admin wako akusaidie!
  4. M

    Mafaili yaliyo fichwa katika flash

    Command prompt zipi?
  5. M

    Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

    unaujua uchungu wa mwana kokudo? Sikia 2 kwa mwenzio, ningekuwa m ningekuwa jela kabisa.
  6. M

    Maumivu ya kiuno baada ya kujifungua

    WanaJF, nahitaji msaada wenu ktk hili, nilijifungua miez mitano iliyopita bt kiuno kinaniuma sana jamani, wengine wananambia nilianza kufanya kazi ngumu mapema bt nilipumzika kwa mwezi 1 bada ya hapo nikawa nafanya kazi nyepesi kama kufua nguo za mwanangu 2 na kumuogesha! Msaada jamani!
  7. M

    CCM wameharibu CV ya Pinda, si yeye tena, anafuata anachoelekezwa!

    Nilikosa imani na pinda aliposhupalia uchakachuaji wa matokeo ya ubunge sumbawanga mjini, he is no longer the same pinda i knew.
  8. M

    Tatizo la kiuno

    Hi wana Jf , nasumbuliwa na kiuno sana mpaka kuna kipindi nashindwa hata kuinuka wala kugeuka, nimejifungua miez mitano iliyopita wengine wananambia nilianza fanya kazi mapema kabla ya kupona vizuri, ya kweli haya? Naombeni ushauri jamani!
  9. M

    Najua Huwezi Sahau Lakini Je Can You Really Forgive Someone Who Cheated on You

    I can 4give bt siwezi sahau na i can't trust tena so its better tukitengana!
  10. M

    Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara

    Mlachake si Reli ya kati. Jibu swali nililouliza basi
  11. M

    Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara

    Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara kwa miezi iliyobaki kukamilisha mwaka, labda mpaka mwaka kesho, haiathiri utendaji wako wa kazi wa wafanyakazi?
  12. M

    sumu ya ndoa ni ...

    Sumu ya ndoa ni familia yako kumcontrol mke wako/mume wako
  13. M

    Kama hajatulia fanya hivi

    Kama hajatulia, hajatulia tu hata umfanye nini atatoka tu!
  14. M

    Tatizo la kuishiwa nguvu

    Asante ndugu zangu, situmii Bima ya afya na pia nilifanya fool Blood picture ndio wakaniambia hiyo sukari ipo chini but hiyo niliitibu japo shida imeanza tena!
  15. M

    I'm looking for part time job in IT

    Mchajikobe tatizo ni mshahara hautoshi
  16. M

    Tatizo la kuishiwa nguvu

    Wana JF naomba msaada wa mawazo mimi nina tatizo la kuishiwa nguvu na kizunguzungu, sometime nahisi kupoteza network kabisa na huwa naweza poteza fahamu, nilienda hospital wakanipima kila kitu wakasema hamna shida, but mimi naona siko sawa, baadae wakaja kunipima tena wakasema sukari yangu iko...
  17. M

    I'm looking for part time job in IT

    Nina advanced diploma ya IT na pia nimefanya course ya Cisco, nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha but mwisho wa kazi huwa ni saa kumi(na ni jumatatu-ijumaa) na from there na kuwa free, so nahitaji kazi ambayo naweza ifanya kuanzia muda huo ninapotoka kazini.
  18. M

    IT WA Mwananchi communications vipi?

    Ni zaidi ya miezi miwili sasa , kila nikijaribu kutembelea website ya the citizen ile sehemu ya JOBS na TENDERS, nakutana na post za tangu june, Ina maana hao watu hawajui tatizo hilo au wanaamua tu kuiacha hivyo? na kama labda hao ma IT wana uzembe fulani vipi kuhusu hao mabosi wao? ina maana...
  19. M

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Upo sawa kabisa mkuu wanyakyusa wengi wa kyela ni wavivu wanataka kila kitu wafanyiwe, mfano mtu ana mkewe na watoto wakiugua anataka asaidiwe au anaweza funga safari kufata msaada ambao ile nauli anayotumia ingetosha kutatua tatizo hilo. Na asiposaidiwa ndiyo anaanza kukutangaza kwa wengine...
  20. M

    Mnyakyusa wa Kwanza London(utani)

    Ubaya wao uko wapi? weka wazi
Back
Top Bottom