Search results

  1. Bang'a

    Kuacha na kuachwa

    Jaman kuna watu wanaakili kuliko kuwa clever. sijapost entry siku nyingi sana. nakuja hv: kuachwa au kuacha, hiv vitu tujitahid kuvifanya kwa mazungumzo ya pamoja, kwan mwenzenu niliachwa halafu kwa mbwe mbwe kibao,, lakin baada ya muda wa miaka miwil familia ya aliyeniacha walipata shida na...
  2. Bang'a

    Baba amtia mimba bintiye......

    Jaman sasa naamn kuwa uyaone. Kumbe ni kweli kwamba "ya Mungu mengi ya kuku mayai ya watu maneno" huyu baba amelogwa na aliyemloga ameshafarik zaman kwa hyo huyo ni milele kwa tabia hyo. Nashdwa kutoa adhabu mana, akifungwa mvua 30, akirud mtoto ni mkubwa kwa miaka kama hyo, je ataitwa baba...
  3. Bang'a

    Zipo wapi picha za mwalimu nyerere wakati ule wa sherehe za kukabidhiwa Uhuru?

    Babylon zile picha zpo makumbusho. Na sio picha tu had video zake zipo. Leo kuna kituo kimoja kinaitwa ITV kipo tz, wameonyesha matukio ya cku ile mwaka 61, ilikuwa ver mvuto.
  4. Bang'a

    Mwanaume Mwenye Aleji na Mke Wake

    Kwa kwel huya mke anamtihan mkubwa. Ila usije kuta jamaa anazunga na kutembea na wadada poa!
  5. Bang'a

    Ni uzembe na ujinga

    Kuna tetes mnataka kununua JF, na vikao vya manunuz 2meshasikia gosping zake, ngoja 2shke mafail tutaqoute mpaka finger prnt. Wana JF kaen mkao wa kurusha mawe kwa wenye nyumba za vioo!!!
  6. Bang'a

    Ni uzembe na ujinga

    Polen CCM, lakn hatutaacha kuwaandika kwa maufisad myafanyayo. Na kwa taarfa yenu mtapakwa had mtafunga JF. Futen topic zote, ila hamtafuta yaliyo ubongon mwetu. Shame on u!
  7. Bang'a

    Hivi hii ni starehe au ugonjwa?

    sasa kibweka kama ni kitafunio chai n nini
  8. Bang'a

    Hivi hii ni starehe au ugonjwa?

    nina mashaka na upeo wa mpangwa. mpangwa si kila kitu unachokijua umefanya reseach, unasema jamaa afanye utafit kuhusu "UWEPO WA JAMBO HILO" je wewe umefanya utafit "KUHUSU KUTOKUWEPO KWA JAMBO HILO"? Sina utafit niliofanya kuhusu hilo, lakin swala liko open kabisa na linaonekana, na madhara na...
  9. Bang'a

    Hili je mwalijua?

    Sasa 'the boss' why should i fil shy! Cynic loriondo ni mji ndan ya mkoa wa manyara zaman arusha. Na cm znabdilisha display, yaan badala ya zain au tigo au vodacom inaonyesha 'sasa unaingia falme za kiarabu' jaman ckusimuliwa yalinkuta. Sijui ni shame gan natakiwa kuwa nayo.
  10. Bang'a

    Hili je mwalijua?

    Je mwafahamu ukifika maeneo ya loriondo arusha, cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''. Ilibd niulize waungwana walijibu hv nacot ''wanasema et kuna wat toka falme za kiarabu wamenunua loriondn wakafanya nininini sijui...!'' dnt ask 4...
  11. Bang'a

    Asist me in this!

    Hehe me si fisadi wa kupewa nafsi kwa kujuana nina qualificatin zangu.may be nilipresent vibaya, niko kazin nibepewa kitengo cha mirad, na kama vile nakomolewa. miradi yetu ni hiring of halls, printing press, hostel na ukumbi wa mikutano
  12. Bang'a

    Tanesco/serikali wanatumaliza

    polen sana mnaonekana mwaumia na hilo lakini sidhan kama mwanishindwa. hivi inawezekana kupika pombe usionje? unajua nauliza hili kwa sababu kianzi mlimba morogoro wanazalisha umeme lakini kuna watu wanatumia koroboi. hilo tangazo lao la umeme vijiji ni umbea tu, kampeni zao hizo. kianzi na...
  13. Bang'a

    Tanesco/serikali wanatumaliza

    polen sana mnaonekana mwaumia na hilo lakini sidhan kama mwanishindwa. hivi inawezekana kupika pombe usionje? unajua nauliza hili kwa sababu kianzi mlimba morogoro wanazalisha umeme lakini kuna watu wanatumia koroboi. hilo tangazo lao la umeme vijiji ni umbea tu, kampeni zao hizo. kanzi na idodi...
  14. Bang'a

    Asist me in this!

    Wandugu nimepata nafas ya uhasibu wa project sasa mwaweza nisaidia kuanaliz kaz muhmu ambazo project acountant anaweza kufanya.
  15. Bang'a

    Nifunguen kwa hili

    Jaman hebu nifumbuen kwa hil. Et, kuna eneo linaitwa uchindile wilaya ya kilombero morogoro, kuna wazungu wamepanda miti fulan, lakin tetes zinasema si mit peke yake kuna madin huko na kuna mabosi yan matopu wanajua hilo dil na wanamegeana kisela.
Back
Top Bottom