Search results

  1. M

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Niseme tu, kila zama ina kitabu chake. Kitabu cha Simba kimefungwa misimu mitatu hii. Simba tusipobadilika tutawapa fursa Yanga wachukue Kombe miaka mitano badala ya minne tuliyolibeba sisi. Chop chop! Tuamke!
  2. M

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Kwa kuwa huu ujumbe umo katika nembo ya CAF na wala sio nembo ya Umoja wa Afrika, iko wazi kuwa Zanzibar Heroes au Timu ya Taifa ya Zanzibar, inachoomba hapa ni uanachama wa CAF. Mimi badala ya kuutafsiri ujumbe huu kuwa ni "uhaini" kama mmoja alivyodai huko chini, ninaona kama ni "uchochezi...
  3. M

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Na pale Yanga walipokosa misimu minne mfululizo, baadaye misimu miwili wakabeba kombe, je walibebwabebwa?
  4. M

    Zitto tusaidie umeelewa nini pale Bungeni? Hiki ndicho ulichotegemea?

    Duh! Nilikuwa sijui kuwa like AZIMIO, sio mkataba bado, limetengenezwa na Waislamu kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Asante kwa kutufungua macho.
  5. M

    Kuhusu nani anastahili kiatu mskie Othman Kazi, refa wa Mstaafu wa FIFA

    Sasa kama magoli ya Saido ni ya mchongo, kwa nini TFF haichunguzi upangaji matokeo?
  6. M

    Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Haya mambo ya kunyofoa vipandebvya mkataba vipande tu vya vifungu yanaweza kusababisha tafsiri potofuu. Kwa hivyo, ni busara Kwanza kuona Kifungu cha 20 kinasemaje.
  7. M

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Kama ingekuwa hakuna Home and Away, kaburi lenu lingekuwa hapa hapa kwa Mkapa; wala msingeitia serikali hasara kwa kutoa ndege ili mkanywe kahawa. Nashindwa hata kufikiria adhabu ambayo angewapa Mzee Magu angekuwepo. Karibuni nyumbani KKFC aka Kufa Kiume Football Club. Ah nilisahau! Kufunga...
  8. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

    TAKUKURU wachunguze pia zile 4-1 za Yanga vs Singida Big Stars. Nyani haoni makalio yake.
  9. M

    Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

    Ukinuna, mwenzako anakula. Kwa kuwa kura ya mtu mmoja tu inamfanya kiongozi aongoze nchi, hata tukinuna sote, CCM itaendelea kutesa na kututesa. Katiba mpya ndio suluhisho, tubanane nao hapa hapa mpaka katiba mpya ipatikane.
  10. M

    Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Kama mpenzi wa Simba, pamoja na kuutaja ukweli wote mchungu na kueleza mapungufu yote uliyoyaona kutoka kwa timu, kocha na mchezaji mmoja MMOJA, Pamoj na msululu wa lawama, BASI HUNA HATA USHAURI MMOJA SIMBA IFANYE NINI ILI IVUKE HATUA HII?
  11. M

    FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    Ikiwezekana afungishwe virago mapema kabla hajasababisha majanga zaidi!
  12. M

    Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

    Jina limesadifu mtu! Shaka, Shaka, Shaka! Hivi una mashaka gani Shaka? Itapendeza zaidi kama utanyamaza Shaka!
  13. M

    Shaka: Acheni siasa za kitoto za kutoa maagizo na mikwara kwa Rais, jikiteni kwenye Maendeleo

    Akili za Shaka hazina akili, zinatia shaka! Ma-Shaka juu ya mashaka
  14. M

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Makamo wa Rais wa JK walikuwa wa dini gani? Mnaanza ufukunyuku wa udini. Tanzania haina dini!
  15. M

    Huu ndio ushauri pekee aliopewa Mkapa na Mwalimu Nyerere alipokuwa akiunda serikali yake 1995

    Ulikuwa ushauri mzuri kwa kila anayetaka mema nchi hii, lakini wenye nyoyo na nyuso za viburi nyuma ya miwani ya mbao hawawezi kuona umuhimu wake.
  16. M

    Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Na hilo nalo neno, nyundo nyengine ya kusambaratisha upinzani
Back
Top Bottom