Search results

  1. Gullam

    Uhamaji wa wabunge upinzani, kuna umuhimu wa kujifunza kuchagua wanawake?

    Wasalamu, Kuna vitu nimejifunza juu ya uhamaji huu wa wabunge wa upinzani kurudi CCM: 1. Wanaume wanaongozwa na tamaa, ujuaji, chuki, husda na kutokujali madhara yatakayotokea nikimaanisha wana umimi. 2. Nimejifunza kuwa wanaume hawana muda wa kusubilia kesho, kwakuwa tu ameshahisi yatakayotokea...
  2. Gullam

    KENYA: Spika wa Bunge atupia mbali muswada wa kumng'oa Jaji Maraga na Makamishna wa Mahakama kuu

    Wanabodi wasaalam, Niende moja kwa moja kwenye mada, nadhani kitu kilichokuwa kinasubiliwa kwa hamu kubwa, nadhani na mahakama zote za east afrika ni kuhusu huo mswaada uliowakilishwa na mwansheria mkuu wa Kenya. Wengi waliusubilia kama kipimo cha bunge juu ya muhimili mwingine, na vilevile...
  3. Gullam

    Waafrika au watu weusi tulianzia wapi?

    Wanabodi, Salamu ziwafikie wote. Nia yangu sio mbaya, ila baada ya kutafakari na tafakuli ya muda mrefu na kushindwa kupata jawabu nimekuja kwenu. 1. Kujua asili ya watu weusi 2. Chanzo chao cha kuwepo duniani. Hizi sababu nilizozitaja hapo juu, zimetokana na mambo mengi niliyoyawa sana...
  4. Gullam

    Uharibifu wa miundombinu ya UDART

    Salamu wana body. Kwanza nianze kuwatakia waislamu wote funga njema ya mwezi mtukufu. Leo kwa mara ya kwanza nimepita feri kupitia mwendo kasi, mara niliposhuka tu kivukoni terminal nikapatwa na haja ndogo, nikaona si uungwana kujibana wakati huduma ya choo ipo pale. Nikatoa dinari yangu, ili...
  5. Gullam

    chadema pumba ziendelee kupeperuka ibaki nafaka halisi

    kinachoendelea ndani ya chama kikuu cha upinzani cdm ndicho hasa kitakacho iimarisha siku za usoni baada ya kuondosha pumba(wasaliti,mapandikizi,vibaraka,wanafki)na kubaki nafaka halisi(waaminifu,waadilifu,wakweli,wazalendo).cdm imekuwa ikikumbwa na migogoro ktk vipindi mbalimbali,hasa pale...
Back
Top Bottom