Search results

  1. A

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Hawa jamaa wapo tayari washinde uchaguzi kwa gharama zozote, kila kuhamisha watu ni pesa hapo za mlipa kodi
  2. A

    Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Mbona magu hakuwai kwenda na maisha halienda, hata gharama za maisha hazikua juu kiasi hiki
  3. A

    Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    Yaani viwango vya lissu umuweke makonda?
  4. A

    Kodi za Magari nchini Tanzania

    Yes niliamini mkuu maana waziri kasoma kabisa bungeni
  5. A

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Niliwahi pata tatizo kama Hilo tukaja kuta ni can sensor imekufa, kubadilisha tu gari mpya.
  6. A

    Kodi za Magari nchini Tanzania

    Wakuu matumaini yangu wazima, Wote mtakumbuka katika hotuba ya bajeti ambayo imeanza kutekelezwa Julai mosi 2023 tuliambiwa kuwa Magari ya umeme hayatakua na kodi. Serikali ya CCM ilienda mbali ikasema ni kwa ajili ya uifadhi mazingira. Leo katika pitapita yangu nikasema ngoja niijaribu...
  7. A

    Komando na Manati

    Hakuna lolote unalojua hapo,vita gani na manati
  8. A

    Yemen wamjibu Netanyahu kuwa ipo tayari kwa vita na Israel na Marekani

    Wakianza kupigwa hapa mnakuja kulialia kua wanaonewa
  9. A

    Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Mbona watu wa bara hawapati hizo nafasi ndani ya Zanzibar?
  10. A

    Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    Ndio maana tunapenda katiba mpya kuondoa mamlaka za kifara kama hizo,wewe uneniteua kufanya kazi yako sio lazima kama najiona siwezi
  11. A

    PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

    Mimi siongelei mama bali ccm kwa ujumla,watu wanasombwa na malori na wanapewa pesa,yaani nilishangaa mtu anatembea na Alphad anagawa pesa na vikoti vya reflection kwa kila bodaboda ili audhurie mkutano wa mama then mnasema mnapendwa
  12. A

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Angesema hapa kakobe ungesikia oooh hajalipa kodi,ooh usajili wake una matatizo,ooh kiwanja alipo hakina hati,haya mwamba huyu hapa,wapi nape kuzuia waraka
  13. A

    Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

    Urusi hii hii inayoangaika na Ukraine zaidi ya mwaka,urusi yenye kutegemea vikosi vya kujitolea kama wegner,Urusi yenye kuchukua hadi wafungwa wakapigane vitu,Urusi iliyokua na msafara wa zaidi ya km 60 ukielekea kiev wakati vita ndio imeanza ,tukajua mji mkuu wa Ukraine unatekwa soon hadi leo...
  14. A

    Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

    Kwa technology ya sasa hivi F16 or F15 sio ndege za kulinga nazo,kuna advanced fighters and bombers kuliko hizo
  15. A

    Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

    Na mbaya zaidi raisi wa Ukraine yupo free hadi anasafiri nje kila mara,huku Putin yupo busy kusafiri na customized train huku akihofia kupinduliwa
Back
Top Bottom